Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

Hukulink na konami Id
Nilink laini bado inanigomea nilipotaka kuirudisha kwenye simu ya awali, nimejaribu kuongeanao wenyewe nao wanagoma! nimewatumia Email ya mwisho wakizingua naachanalo.
1752759469775.png
 
Ndio Kantwe, township kuna muda wananibana inabidi ninunue hela, hiyo hela unanunua ili upate hela ya kuendeshea mji wako.

Sio hela nyingi unakuta kuanzia elfu 2
🤣🤣🤣 Basi mimi magemu yangu huwa yananipa 7500, mengine 20,000...mimi binafsi siwezi huwa najitahidi tu kutafuta points kwa kuangalia matangazo
 
🤣🤣🤣 Basi mimi magemu yangu huwa yananipa 7500, mengine 20,000...mimi binafsi siwezi huwa najitahidi tu kutafuta points kwa kuangalia matangazo
Nimeyaona hapo juu ngoja niyatafute.
 
Back
Top Bottom