According to Playstore ni Sportpesa (japo wamechapia sio game), Dream league soccer, subway surfer (princess), water sort puzzle, traffic and driving simulator, pool billiards na block blast.Natamani kujua game ambazo zina ongoza kupendwa na watumiaji wa simu za mkononi Tz...
Una game zipi kwenye simu yako?
Tafuta woody ball nzuri zaidi
Nimeona Township ๐๐๐View attachment 2844231Plus iMessage games๐
Nimeona Township [emoji23][emoji23][emoji23]
90, Wewe je?[emoji23][emoji23]upo level ya ngapi?
90, Wewe je?
Waaaa! Mdogo mdogoโฆโฆ Sema lilikua linachosha na linahitaji mapesa kibao na mapesa yenyewe magumu kweli kupatikana kama uchumi wa Tz ๐โ๐ปWaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 37
HapanaView attachment 2844360
Ndo hili Boss?
Majina yake sasa [emoji16]Wasio cheza games wanaona kama vile tunafanya utoto na wakati kucheza game ni starehe kama kwenda bar kulewa au kucheza mziki na kuna zile mind game zina changamsha Sana akili ukiwa bongo lala hutoboi