Games online!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
kwa wale wapenzi wa games..leo ningependa tushirikishane juu ya online games, kwa upande wangu mimi ni mpenzi mkubwa sana wa hizi games kama CITY VILLE NA EMPIRE AND ALIES (za kwenye facebook) pia racing kama porsche na zinginezo, ningependa kujua kwa wengine inakuaje juu ya game hizi, unafkiri ni game gani zaidi ni nzuri online? lwa upande wangu mi naikubali sana cityville kwani ni kama real time gaming..unashirikiana na watu wengi online na wakati mwengine kuwa adui zako kwenye empire and alies...its fun!
 
napenda strategy games kama warcraft but net slow kucheza huenjoy maybe nidownload kama age of empire. Ipo moja shooter online game palisade guardian i think ni best ipo one na two nenda official website yao aramorgames ni 2 mb tu kuload
 
and trick nzuri ya kuplay online games kama za flash nk, chukua adress ya hio online games then nenda web hii File2HD.com then ingiza utapata link mwisho ina .swf icopy then paste kwenye adress bar utalipata hilo game full screen
 
Back
Top Bottom