Games ambazo nimecheza mpaka mwisho

Need for speed: the run,most wanted,payback...
Currently nipo heat

Gta ,liberty city,vice city na san andreas

Project IGI

Na wrc ....2017

mkuu naitafuta liberty city, kama upo kati ya hizi sehemu tuwasiliane, Mwanza,Geita na Moshi
 
Game pekee niliyo wahi kuimaliza hadi mwisho ni Total Overdose.......enzi hizoo
 
Kwenye ETS 2 unafanyaje kupanda rank maana me nikipele mzigo nikifika nachagua tena kazi na kila mda route inakua ni ile ile hadi naichoka

Naomba link mkuu mm ni mpenz wa hz mambo za driving
 
Ps 2 game nilizo cheza na kumaliza
God of war 1
God of war 2
God hand
Need for speed most wanted
Pro evolution soccer ila sina uwakika km mpira unaweza cheza na kuisha
Game za computer nilizo cheza na kumaliza
Sniper elite v2
Fifa 14
Pes 2018
Zuma
Mafia 2
Game za simu nilizo cheza na kumaliza
Psp
God of war ghost of sparter
God of war chain of olimpyies
Zuma
 
Back
Top Bottom