Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,032
Kwa wanaocheza game ya mpira, mimi naikubali zaidi PES hasa uwepo wa UEFA champions league, bado FIFA haikuti PES, kwa mtazamo wangu.

Wewe unaikubali ipi?

===
Maoni ya wadau:

 
Mimi still ni fan wa pes, ila since 2014 naona wanazingua tu, wameacha root zao na innovation ni sifuri.

Nina week now nacheza pes 18 kidogo naona wameimprove ila bado naona wana safari ndefu.

Nimecheza FIFA 17 japo si mpenzi wa gameplay ya FIFA ila frostbite engine ni next level, ile story ya Alex Hunter ya kwenye journey ni bonge la idea.

Wish Konami waje na kitu kama kile,
 
well said mkuu!
 
FIFA ndio wamejipanga vizuri lakini niseme ukweli tokea nipo darasa la 7 nilianza kucheza FIFA ya ps2 nikaona control zake uhalisi kwa kila kitu mfano handball (kama mtu akishika lazima uwe foul) but still PES hakuna mpka now kwenye graphics PES wapo na konami hawa wajapani ni wazuri lakin sasa wameshindwa kushindana na FIFA kutokana na tokea zamani fifa imekamilika karbu timu muhimu dunia mpaka za Afrika kama kaizer chief ila PES hawana baadhi ya timu na hata league ni chache na pia hizo timu ni chache zimewekwa majina ambayo kama hujui football backgroud huwezi tambua kama (Liverpool inaitwa Meysdiey sijui ) wamejitahidi hizi version mpya kuanzia 17 tu ila izo nyingine fans wa PES ni mashahidi.

Kuja kwa watengenezaji wapya wa FIFA ni mwanga mzuri nimecheza fifa karibu zote ila FIFA nzuri hawatakuja kuitengeneza ni ya FIFA 14 cover ya Messi.nawasilisha kwa wote wakuu FIFA fan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…