Game za magari

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,595
5,488
Habari zenu wadau,nina simu aina ya smartphone hua kila nikitaka kudownload play store game za magari ikishamaliza mwisho inaniletea maneno haya,Open the app na sehemu nyingine ni Scan for virus naombeni ushauri wenu je hapo niminye wapi na je izo game zitakuwa salama kwa wadudu simu yangu,
 
Bonyeza pale palipoandikwa complete.
 
Mimi
*Kula vitamu
*Movies n Musics
*Travel
*Games
*Stylish/Fashion n Life styles
Mimi najikuta kila mara nasafiri lakini sina hobby kbs kwa kusafiri aisee .kila nikisafiri nakuwa off balaa..nachoka sana kukaa then navimba miguu
My hobbies are;
Cooking
Dancing
Singing
 
Habari zenu wadau,nina simu aina ya smartphone hua kila nikitaka kudownload play store game za magari ikishamaliza mwisho inaniletea maneno haya,Open the app na sehemu nyingine ni Scan for virus naombeni ushauri wenu je hapo niminye wapi na je izo game zitakuwa salama kwa wadudu simu yangu,
Ni simu Aina gani hiyooo...
Ni Aina gani ya security app inayotumika kwenye simu yako maana Kuna security app szinae kiherehere zinataka tuu zikusumbue uscan...ukawatch adds zao ..wapige mpunga..
Nililiona tatizo hili kwenye simu za Tecno matoleo ya zamani...
Zilikuwa zinatoka na default 360 security app...
I stand to be corrected.
 
Mimi najikuta kila mara nasafiri lakini sina hobby kbs kwa kusafiri aisee .kila nikisafiri nakuwa off balaa..nachoka sana kukaa then navimba miguu
unasafiri kikazi si kistarehe
My hobbies are;
Cooking
Am zero
little
Am good in Music Cover, Adele Hello niliitendea haki.

Cinema Cinema Cinemax, Century hii nitaitengea Account yake Bank.
 
Back
Top Bottom