Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
Dangerous dave na supermario zile 8bit, zilikuwa awesome, ivi zinakubali kwenye mashine za kisasa? Nataka nijikumbushe
katafute dos emulatnr yoyote. mi najikumbushia hapa saiz
Dangerous dave na supermario zile 8bit, zilikuwa awesome, ivi zinakubali kwenye mashine za kisasa? Nataka nijikumbushe
hapo umemaliza san andreas ni bonge la game yani.Game GTA San Andreas tuu.bado sijaona mpinzani wake,,sema graphics tu ndo hazjakuwa improved sababu ni ya zamani
Kwenye computer hakuna game kama solitare.
karata ndo mwake mwake
Best computers for gamers. Zina specs special for gamers
Hizo mashine ziko poa tatizo mkasi wake, hapo unaongelea milioni nne..
afu tatizo laptops huwezi ku-upgrade kitu kama GPU ndo maana napenda desktop ikitoka GPU au processor mpya nabadilisha...
intel atom ambayo sio hata baytrail kama hio huwezi kuplay game lolote la kisasa. ila unaweza cheza games za zamani kama za 2004 hadi 2006Wakuu kimeo changu kina sifa zifuatazo
je naweza kuplay game gani za kisasa?
Description of Samsung NP-N100SP Netbook Laptop (Intel Atom, 10.1 Inch, 320GB, 2GB, Black)
Processor: Intel0 3 ATOM6¾4 Processor N2100 (1.6GHz, 800MHz, 512KB)*
.Chipset: Intel NM10*.
Hard Disk: 320GB S-ATA¢ò(5,400RPM)*.RAM: 2GB DDR3 1,066MHz*.
Screen Type: LED Display*.
Screen Size: 10.1"*.
Screen Resolution: 1024 x 600*.
Display Card: Intel GMA3150 (Int. Graphic)*.
Display Card Memory: Shared*.
Optical drive: No*.
Audio System: HD Audio*.
Ports: VGA, HDMI, Headphone Out, Mic-in, 2x USB 2.0, RJ45, DC-In (Power Port)*.Memory Card Reader: 4-in-1 (SD, SDHC, SDXC, MMC)*.
WebCam: Yes*.
Ethernet: 10 / 100 LAN*.Wi-Fi: 802.11 bg/n 1 x 1 (up to 150Mbps)*.Bluetooth: No*.Battery type: Lithium-Ion, 3-cell, 2200 mAh*.
Operating System: Windows 7
Hii game nimeipata muda mrefu sana ila hadi leo bado naicheza tu.. Utamu wa hii game icheze kwenye machine yenye high specs, ultra settings at full 1080p ukiwa na avarage 50+ FPS na monitor safi kabisa yenye refresh rates za kutosha...
Battlefield 4 namba moja... mrembo mwingin ni Crysis 3.. hapo hunyanyuki hadi umalize story nzima... graphics zimefikia level nyingine kabisa nowadays... kama bado unatumia dual core na intel hd ni wakati muafaka sasa kutafuta i5 au i7 na GPU za NVIDIA GTX angalau 650ti kwenda juu.....
View attachment 171700View attachment 171701
Tupia games ambazo umecheza unazozikubali....
Hii game nimeipata muda mrefu sana ila hadi leo bado naicheza tu.. Utamu wa hii game icheze kwenye machine yenye high specs, ultra settings. mkuu nitext 0714-408238 ili unikopie game ktk cd nami ntakupa hela kidogo.
Jamani kwa mtu mwenye core i5 au i7 processor pinless quadcore naomba tufanye biashara... Hata kama ni used ill appriciate it.. Iwe more than 2.5ghz,, quad core na iwe pinless..