naikubali sana hii na nimefanikiwa kufika mpaka mwisho "level 14"
hapo umemaliza san andreas ni bonge la game yani.
ukiwa na nuc laki 6 hadi 8 unatengeneza bonge la mashine, desktop zimepitwa na wakati.
nuc ya i3 unaipata chini ya dola 200 na ya i5 unaipata around dola 300 inakuwa complete kasoro ssd na wifi card na vitu vidogo dogo vyengine.
![]()
kama hununi ssd unaeka hdd na utatumia modem bila wifi kwa laki 3 hadi 4 unapata mashine ya i3 ram 4gb(unaongeza hadi 16gb).
hao ni intel ila kuna brand nyengine kama gigabyte na amd wenyewe wana vimini pc ambavyo vipo complete kabisa na ssd.
uzuri wa hivi vi mini pc vina port nyingi kama hdmi na usb port 3.0 hivyo hata tv unatumia huna haja ya monitor
Kwa aliye tayari, ni-sms 0714-408238 ili uniuzie kila game kwa elfu 2, cd ya ku-burn juu yangu. Nahitaji sana hzo game. Nipo dsm. Natanguliza shukrani wakuu.
chief hiyo Picha ni ya nini, ni kifaa gani hiko?
computer za sasa za kisasa zinazoreplace desktop badala ya kununua mdesktop mkubwa unakanunua hako kadogo.
![]()
computer za sasa za kisasa zinazoreplace desktop badala ya kununua mdesktop mkubwa unakanunua hako kadogo.
![]()
Wakuu hizi game mnazidownload au mnanunua?
Hii pc ndogo sidhani kama inaweza ingiza graphics card nzuri na kubwa kama gtx 750 ti..too small kuwa upgraded heri kubaki na tower..
bongo zipo hizi?
yeahh zipo zenye iris sio best graphics kushinda zote ila zitacheza game zote zilizotajwa kwenye hii thread
Mmmmmh mkuu hebu tueleze specs zote za hii mini... Ina processor yenye core ngapi na graphics card kiasi gani....