Game ya computer iliyonivutia

Game ya computer iliyonivutia

DirectX 12 imetoka na windows 10 itaongeza sana ufanisi kwenye games hadi 2x kwani developers sasa wanaweza kuwasiliana na gpu kwa urahisi tena zaidi ya moja kutoka kwa kampuni zaidi ya moja tofauti na zamani hadi utumie crossfire au sli, mfano unaweza weka kwenye pc yako nvidia na amd gpu na zote zikafanya kazi. Pia cpu core zaidi ya moja zinaweza kuwasiliana na gpu kwa wakati mmoja tofauti na matoleo ya dx za zamani ambapo cpu core moja tu ndiyo ilikuwa inaweza, hivyo maboresho hayo yataongeza fps za games hadi mara mbili ya sasa. Kwa wale wenye multicore cpu kama mimi nina 8 core cpu ni muda wa kula bata tu
 
Call of duty zote ni addicted jaribu hata moja ukubaliane nami.
 
Back
Top Bottom