Game ya computer iliyonivutia

Game ya computer iliyonivutia

nilisha cheza game nyingi ila Euro Truck Simulator ni mwisho na nyingine ambayo ninaipenda na hata waboreshe vipi awanishawishi ni GTA3

euro truck gani umecheza? its my favor too
 
Mimi napenda game za soma mf,deam soccer,fifa15 mwenye mengine anisaidie Mimi nisoka sana please
 
far cry 1, 2, 3 ni mwisho wa matatizo. High graphics, inaweza kucheza kwenye mashine nyingi. Then kama unapenda kudrive poa kama unapenda vita poa. Napenda sana siraha zake.

jaman website gani ambayo freeshare tuweze download game hizo kwa bure?
 
Tupieni website ambazo free kuzipata games kali
 
Far cry 1, 2, 3 ni Mwisho wa matatizo. High Graphics, Inaweza kucheza kwenye mashine nyingi. Then kama unapenda kudrive poa kama unapenda vita poa. napenda sana siraha zake.

Ongeza na far cry 4 hapo
 
Mi nimecheza mengi sana
  1. Far cry 2, 3 na 4
  2. Battlefield bad company 2, battlefield 3, 4 na hard line bado sijapata crack
  3. Arma II na III
  4. Bioshock II na Bioshock infinity
  5. Metro 2033 na Metro Last light (Very graphics demanding games)
  6. Crysis, Crysis 2 na Crysis 3
  7. Call of duty modern warfare 2 hadi Call of duty Ghosts
  8. Front line fuel of war
  9. Rage
  10. Medal of Honor
  11. The vanishing of Ethan Carter (Best graphics ever)
  12. Left 4 Dead 2
  13. Homefront
  14. Assasin's Creed II hadi Rogue
  15. James Bond 007
  16. Deus ex human revolution
  17. Half life 2 episode 2
  18. Singularity (Best story ever)
  19. Dying Light
  20. Lost planet 2
  21. Dead Island
  22. Darkness
  23. Snipper ghost warrior
Na mengine kibao hayo ndiyo nakumbuka kwa haraka, pc yangu kwa sasa ina
Processor: AMD fx 8350 @4.2GHz
CPU cooler: Cooler Master EVO
Ram: 16GB DDR3
Graphics: GeForce GTX 760 2GB DDR5
HDD: 60GB SSD ndiyo ina win 8.1 OS na 1TB ndiyo nimeweka games
Nimeunga kwenye TV sony Bravia KDL42W670A inch 42 games zote nacheza graphics maxmized at 1080p
 
GTA V ni kiboko ila GTA Sanandreas ni hatari zaidi.
 
Fifa 14 , career msimu wa 2015/2016
Euro truck simulator 2, sijamaliza
Desert storm 1&2 simaliza
IGI
Fifa 15 hata crack hazijatoka full
Naitaji kupata core i7 sasa nienjoy ulimwengu wa game
 
Hamna game kama Super mario.. mario-star-scramble-2.jpg
 
GTA V ndio game iko pouwaa sana Free Roaming...NFS Rivals,CoD MW 3,Watchdog and many more n more n more...........
 
Back
Top Bottom