komaaMwenye game ya tom craync splinter cell blacklist anisaidie pls
nataka mtu anipe mkuu bando ishu kwangu siku hiz.
Download tu, spintire mud runnerWakubwa ..mim n mpenzi wa games..sasa kuna hili game naliona sana clips zake youtube..sprintire..je kwenye computer linaweza cheza??..wapi na nani alie nalo aniuzie..coz naliona tamu sana
Spintire ni game la kuendesha nagari madogo na maroli lakini kwenye barabara za tope nyingi na msituni. Kwa hiyo unajaribu kupambana na hali mbaya ya barabara. Hili ni tofauti na Tom Clancy's SPLINTER CELLMkuu una maanisha splinter cell pandora
Kama Euro track
Euro track ni hatari Kwa watoto maana anaweza acha shule akajikuta tajiri Kwa kununua gari na geregeEuro truck ni zaid ya hilo...
HahahaEuro track ni hatari Kwa watoto maana anaweza acha shule akajikuta tajiri Kwa kununua gari na gerege
Kuna moja niliiona huku lina campuni zakitanzaniaHahaha
Yaa unaweka mod..hata mim nina mod za mabus ya TanzaniaKuna moja niliiona huku lina campuni zakitanzania
hahahaaEuro track ni hatari Kwa watoto maana anaweza acha shule akajikuta tajiri Kwa kununua gari na gerege
Mkuu uko pande gani kama tunaweza meet ili unipatieYaa unaweka mod..hata mim nina mod za mabus ya Tanzania
Mkuu uko pande gani kama tunaweza meet ili unipatie