Mr_X
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,170
- 2,336
Shame
Shame
Shame
Makosa ya kibinadamu yanatokea kwa kuwaminya Yanga SC tu?, Inasikitisha sana wananchi tumeamua kusahau yaliyotokea Mbeya ili leo makosa yale yale tena mawili yajirudie.
Faulo aliochezewa Farid kipindi Cha KWANZA ilikuwa CLEAR penalty ila Hawa Wanadamu wanaoongoza kwa kukosea kwa manufaa yao binafsi hawakuona, Kipindi Cha pili mchezaji kashika CLEAR kabsa nayo kwa kuwa wao wameombewa kukosea Basi hawajaona wamekosea Tena kibaya zaidi ile incident inafanana kabsa na ile ya Mustafa Mbeya, nasema Hawa washakuwa Kama TRA ubungo bila kutoa hela upati kitu, wamekuwa Kama tanesco chanika bila kuwa hela umeme hupati, wanatumika sana.
Wananchi wenzangu tujipange hizi games zinachezwa nje ya uwanja kwa zaidi ya 75%