Game 2 points 4 wamebeba marefa

Mr_X

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
1,170
2,336
Shame
Shame
Shame

Makosa ya kibinadamu yanatokea kwa kuwaminya Yanga SC tu?, Inasikitisha sana wananchi tumeamua kusahau yaliyotokea Mbeya ili leo makosa yale yale tena mawili yajirudie.

Faulo aliochezewa Farid kipindi Cha KWANZA ilikuwa CLEAR penalty ila Hawa Wanadamu wanaoongoza kwa kukosea kwa manufaa yao binafsi hawakuona, Kipindi Cha pili mchezaji kashika CLEAR kabsa nayo kwa kuwa wao wameombewa kukosea Basi hawajaona wamekosea Tena kibaya zaidi ile incident inafanana kabsa na ile ya Mustafa Mbeya, nasema Hawa washakuwa Kama TRA ubungo bila kutoa hela upati kitu, wamekuwa Kama tanesco chanika bila kuwa hela umeme hupati, wanatumika sana.

Wananchi wenzangu tujipange hizi games zinachezwa nje ya uwanja kwa zaidi ya 75%
 
Hapa ndipo unajua maana halisi ya utopolo.

Mmepata clear chance za kufunga ila mmepiga nje au kushindwa kufunga.Tena nafasi moja kwa kubebwa maana ingekuwa nyie mngelia ni offside.

Yote kwa yote,mwamuzi kawabeba ile penalty ya kwanza ili awarudishe kwenye mchezo.

Kama hizo ni clear penalty basi Simba ingekuwa inazivuna sana kwani wachezaji wake Luis na Morrison wanaangushwa mara nyingi kwenye 18.

Uto utelembwe chezeni mieleka muwe na uhakika wa ushindi.
 
ec94fc8f-57f8-4038-baa9-a8a6891f8664.jpg

Kwa hiyo bila penalty hamuwezi kushinda eeh?
Hao mliocheza nao hebu tuambie mliwazidi wapi kiasi cha kwamba mlistahili ushindi, ni shots on target ngapi mlipiga za maana kiasi kwamba huenda kama umakini ungekuwepo mngefuka?

Utopolo mnatabu sana
 
utasikia simba anahonga wachezaji wake ili ishinde yanga buana una sarpong na kisinda mwanariadha hatari kutoka congo bado munaongoza ligi hivi mungu awape nni au tuwapeni Tff na Fifa
Wao wabaki kulinda record yao ya UNBEATEN. Kuna kombe lake pia.
 
Tulia dawa iingie

Huwezi kusajili vituko kama Sarpong halafu utegemee kushinda ligi na kwenda kucheza Champions League

Duniani hakuna timu inajengwa ndani ya msimu mmoja na kuanza kupata mafanikio hapo hapo
Kuna uhusiano gani Kati ya team kujengwa kwa msimu mmoja na team kunyimwa penalty ya wazi
 
Kuna uhusiano gani Kati ya team kujengwa kwa msimu mmoja na team kunyimwa penalty ya wazi
Kwanza kiri kama penat ya mbeya city ilikuwa halali maana mlikuwa mnabisha, isije ukawa unataka kuhalalisha kosa la refa huyu lifanyike na refa mwingine.
 
Kuna uhusiano gani Kati ya team kujengwa kwa msimu mmoja na team kunyimwa penalty ya wazi
Kwanza kubali kule kaitaba mech ya kagera na yanga kagera alinyimwa penati kwann ile mlikula gundi malipo ni-------
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom