Mhh jamani Mungu atusamehe kwakweli kama hofu ya Mungu tunakosa tunabaki kushadadia hata mambo yasiyostahili kushabikia! Kila taifa libakie kusimamia misingi ya utu wao tusiletewe mambo yasiyoendana na tamaduni ya jamii zetu!His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh Naasiru Deen is a silly buffoon.
His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh Naasiru Deen is a silly buffoon.
Karuhusu watoto wako!most absurd.au una practise wapi ushoga tikutafuteHis Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh Naasiru Deen is a silly buffoon.
His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh Naasiru Deen is a silly buffoon.
Kikwete bado anaunda tume ya kumjibia hilii,kama anaogopa anipe mim nimjibiee hadharani hatutaki ushoga wala usaganajiii
Mashoga watengewe nchi yao
----- sana yule,alishawahi kutangaza kua kagundua dawa ya UKIMWI, na akapiga marufuku madaktari hospitalini na kupeleka waganga wa kienyeji wakatibu watu,siwezi kumshangaa yule.
His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh Naasiru Deen is a silly buffoon.
hivi kwanini nyie wenzetu mnaoishi huko ulaya na amerika mmekuwa wajuaji na vinara wakubwa wa kuutetea ushoga africa?,ndio ustaarabu mnaouishi huko mliko?,kuna mwenzenu mmoja kule kenya forum anaandika kingereza kizuri sana,ila hivi karibuni post zake hizo za kingereza zimeingia doa.anatetea ushoga utamalaki kenya.naona hapo juu umemtukana rais wa gambia eti a "silly buffoon".mwe!.
sasa naanza kubaini kwa nini hoja ya dual citizeship ni hoja tata.

waendelee kubaki huko huko wasije wakaja kutuletea uchafu wao kwetu. wafanyane huko huko
Unaishi wapi wewe? Uchafu tayari upo, mashoga kibao kitaa. Na hadi sasa sioni tukifanya chochote kuhusu tabia zao japo sheria za kuwakaba zipo. Kwahiyo hizi kelele za wanasiasa ni uzushi tu.