Gambia kuachana na Kiingereza

Gambia kuachana na Kiingereza

Pamoja kwamba uwa sikubaliani na mambo fulanii fulani ya Rais huyu,lakin kwa hili nampa haki yake.Tunahitaji Watawala wenye Msimamo kama huu.Ushoga ni kumvunjia Hesima MWENYEZI MUNGU kwa hali ya juu kabisa.Tufikilie wote kama Anavyosema Raisi huyu,Watu wote wakiwa Mashoga au Wasagaji ku wapi kuzaa Watoto?
 
Ipo lakini haipo specific, inakataza kuingiliana kinyume na maumbile.

kwenye katiba mpya ingebidi ikaziwe vizuri. au tunaogopa kukosa msaada sie ombaomba?
 
kuna bandiko moja umejipambanua wazi kuwa unatetea ushoga tz.tumeshahafahamu mtizamo/msimamo wako ktk hili.

Wewe ni mzushi mkubwa. Halafu una kichwa kigumu sana.

Kwanza, hujui kusoma na kuelewa hata vitu vyepesi. Pili, ni mzushi. Unazusha mambo ambayo hata sijayasema/ sijayaandika popote pale. Tatu, nionyeshe nilipojipambanua kuwa ninatetea ushoga TZ.

Ama kweli akili yako imedoda kama jina lako linavyobainisha!!!!!!!!!!
 
Wewe ni mzushi mkubwa. Halafu una kichwa kigumu sana.

Kwanza, hujui kusoma na kuelewa hata vitu vyepesi. Pili, ni mzushi. Unazusha mambo ambayo hata sijayasema/ sijayaandika popote pale. Tatu, nionyeshe nilipojipambanua kuwa ninatetea ushoga TZ.

Ama kweli akili yako imedoda kama jina lako linavyobainisha!!!!!!!!!!

naona umeanza kujistukia baada ya kuona umekosa wa kukuunga mkono ktk unachokishabikia.
 
Rais Gambia anakataa lugha ya Kiingereza
Uamuzi wa rais wa kuhama lugha rasmi kutoka Kiingereza na lugha ya kuja baada ya miezi uamuzi wake wa kuondoa kutoka Jumuiya ya Madola
wiki ya siku nne anaweza kufanya kazi nchini Uingereza pia, anasema mwanasaikolojia
Rais Yahya Jammeh ametoa wafanyakazi Gambia sekta ya umma kila wiki siku ya ziada mbali Picha: Reuters

Yahya-Jammeh_2468947b.jpg


Rais Gambia alisema kuwa anataka kutekeleza mabadiliko ya sera ambayo kuhama lugha ya nchi kutoka Kiingereza na lugha ya wenyeji.
"Sisi tena kujiunga na imani kwamba kwa wewe kuwa na serikali unapaswa kuzungumza lugha ya Kiingereza Tunapaswa kuzungumza lugha yetu.," Rais Yahya Jammeh alisema wakati wa sherehe za kuapishwa katika ya Gambia ya Jaji Mkuu mpya kwamba kurushwa hewani juu ya hali kukimbia Gambia Television Services siku ya Ijumaa.

Tangazo inakuja baada ya miezi nchi za Afrika Magharibi ilitangaza kujiondoa kutoka Jumuiya ya Madola, ukusanyaji wa mataifa 54 linaloundwa kiasi kikubwa cha makoloni ya zamani ya Uingereza, ikisema kuwa "kamwe kuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mamboleo."
United Kingdom hivi karibuni alionya raia wake ya kupanda kwa maneno ya kupambana na Uingereza kutoka kwa rais, ambaye mwaka jana watuhumiwa mkoloni wa zamani na Umoja wa Mataifa ya kuandaa majaribio ya mapinduzi ya kijeshi katika taifa hilo la Afrika Magharibi. tuhuma hizo kukataliwa.

Ingawa ni kivutio maarufu kwa ajili ya watalii wa Uingereza, Gambia pia imekosolewa na Uingereza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na wakati kunyongwa tisa ya kifo mstari wafungwa kwa kupigwa risasi katika Agosti 2012. Makundi ya haki za kama vile Amnesty International pia kukosoa serikali ya Jammeh kwa ajili ya ngozi chini ya wapinzani na kulenga wapinzani wa kisiasa na mashoga kwa kukamatwa na kuwekwa kizuizini, miongoni mwa mengine madai ya ukiukwaji.

"Je, kuletwa Uingereza Gambia katika mahali-ambayo kwanza ilikuwa kubwa zaidi kuliko ilivyo sasa-alikuwa biashara ya pembe kwa sababu Gambia alikuwa na mengi ya tembo," alisema. "Wao kufutika tembo wote na kuishia kuuza Waafrika."
Gambia ni moja ya nchi za Afrika ndogo na maskini na idadi ya watu wapatao milioni 1.8.

source; Telegraph


Rais kaona mbali kila mweshimiwa wake akiandaa hotuba ''thiz and I mean to say,because thiz'' zinakuwa nyingi akaona isiwe tabu bora waifanye lugha ya majahazi tuu.
 
kwenye katiba mpya ingebidi ikaziwe vizuri. au tunaogopa kukosa msaada sie ombaomba?

Hapo umenena sisi ni maskini wa kutupa, tunaomba bila aibu kuanzia dawa,pesa ya kufanya uchaguzi, pesa ya kuandikisha uraia, pesa ya kujenga barabara, pesa ya vimiradi vidogo vidogo hadi kuna muda najiuliza hizi kodi zinaenda wapi? au kwanini tusiishi within our means? enhe.
 
Nampongeza, nawapongeza wagambia na namuunga mkono. Huo ndio urijali
 
Faida ya kuacha kingereza itakuwa ni nini ?, Hivi kujua lugha zaidi ya moja hata ukiweza ukaongezea na ki-spain, kifaransa, kichina, lugha yako mwenyewe kuna hasara gani, au kujua kwako kingereza kunakufanya unasahau lugha yako ?, na kwa kufanya hivi hawa jamaa watawasiliana vipi na majirani zao kama Ghana na Liberia ?

Kwa nchi inayotegemea sana Utalii, je ni faida au hasara kujua lugha za hao watalii ili kuweza kuwahudumia vizuri ?

Tatizo ni kuchanganya siasa kwenye mambo muhimu bila kupima faida na madhara ya maamuzi yako. Tunasahau kwamba lugha ipo pale kuwasiliana na mawasiliano ni muhimu sana katika jamii hususan dunia ya leo ambayo imekuwa kijiji.
 
naona umeanza kujistukia baada ya kuona umekosa wa kukuunga mkono ktk unachokishabikia.

Nimejistukia nini? Wewe ni mjinga kabisa tena mwenye tatizo la uelewa. Kwa kifupi ni huna hata akili ya kugundua kuwa umechemsha, huna akili ya kujua kusoma na kuelewa ndo maana unaandika ujinga ambao hata haueleweki.

Mtu anayewaza ushoga muda wote na anayeona ushoga hata pale ambapo haupo huenda yeye ndo shoga. Na huyo ni wewe.

Nimekuuliza, wapi katika hiyo nukuu uliyoinukuu panazungumzia ushoga, umeshindwa kunionyesha. Au hukulielewa swali? Kama hukulielewa sema ili nili dumb down zaidi kufikia kiwango chako.

Zaidi ya hapo nishakuweka kwenye kundi la watu wenye disability - ya akili that is.
 
kwa iyo unadhani nguvu na umoja wa waafrika utaletwa na teknolojia,
vipi ww
 
His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh Naasiru Deen is a silly buffoon.
Akisema wa Magharibi ni conservative ideologue, akisema Mwafrika ni "silly buffoon," ambacho sijui maana yake nini, sijui unawezaje kuwa buffoon halafu usiwe silly, mambo ya lugha za kukopa hizi.
 
Akisema wa Magharibi ni conservative ideologue, akisema Mwafrika ni "silly buffoon," ambacho sijui maana yake nini, sijui unawezaje kuwa buffoon halafu usiwe silly, mambo ya lugha za kukopa hizi.

Uko sawa kabisa! Ni mambo ya kugha za kukopa hayo!

"People Like Ron Because He's A Silly Buffoon"

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom