Gambia kuachana na Kiingereza

Gambia kuachana na Kiingereza

Nimejistukia nini? Wewe ni mjinga kabisa tena mwenye tatizo la uelewa. Kwa kifupi ni huna hata akili ya kugundua kuwa umechemsha, huna akili ya kujua kusoma na kuelewa ndo maana unaandika ujinga ambao hata haueleweki.

Mtu anayewaza ushoga muda wote na anayeona ushoga hata pale ambapo haupo huenda yeye ndo shoga. Na huyo ni wewe.

Nimekuuliza, wapi katika hiyo nukuu uliyoinukuu panazungumzia ushoga, umeshindwa kunionyesha. Au hukulielewa swali? Kama hukulielewa sema ili nili dumb down zaidi kufikia kiwango chako.

Zaidi ya hapo nishakuweka kwenye kundi la watu wenye disability - ya akili that is.

unalalamika nini?.kwa kuelezwa ukweli unaunga mkono ushoga?.nichukuliaje ujuavyo,sijali.
 
Kujipunguzia wigo wa kujua lugha mbalimbali kwa nyakati hizi ni kujitakia matatizo tu, wala sio ushujaa. Mjanja ni yule anayejua lugha nyingi, hata intelejensia inakuwa kazi rahisi tu. Mimi nawasihi watanzania tujifunze kiingereza, kichina, kifaransa na kijerumani ili tuwe na wigo mpana wa fursa, ukizingatia kuwa tayari kiswahili tunakijua vya kutosha!
 
Uko sawa kabisa! Ni mambo ya kugha za kukopa hayo!

"People Like Ron Because He's A Silly Buffoon
Umethibitisha kwamba kama ulilofanya ni kosa basi hata mzawa nae analifanya, which makes it right, oh, okay, I get it. What a great logic.
 
Umethibitisha kwamba kama ulilofanya ni kosa basi hata mzawa nae analifanya, which makes it right, oh, okay, I get it. What a great logic.

Hilo ni hitimisho lako na si lazime liwe ndo nilichokikusudia kuthibitisha mimi.
 
nionyeshe nilipojipambanua kuwa ninatetea ushoga TZ.

wapi katika hiyo nukuu uliyoinukuu panazungumzia ushoga
Well, this is what we gonna do for you, you deserve the benefit of the doubt, we gonna give you a chance to clear the air.

Wewe hujazungumzia ushoga, at least not here, lakini mada yetu hapa sisi ni tunazungumzia Rais wa Gambia kapinga ushoga na Kiingereza. Simple.

Wewe umemtandika karipio kwamba ni "silly buffoon." Bila kufafanua.

Sasa tueleze, unatetea ushoga ama unapinga ushoga ama huna comment ama unatetea kuendelea kutumia lugha za Taifa za kigeni? I mean, just be bold and come out n tell us what you meant.
 
Dooh, Mkuu hayo yote ni majina yake au ni misamiati mipya ya kiingereza. ?

Oh yeah, yote hayo ni majina na vyeo vya hadhi yake. Ili kujiridhisha zaidi ingia hapa kwenye tovuti ya serikali ya Gambia.

Halafu yaelekea jamaa wako slow kichizi maana tovuti yao bado iko kwenye lugha ya Kiingereza!!!!!!!!!!


OFFICE OF THE PRESIDENT

The Office of the President is the Highest Executive Office in The Gambia.

His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Azziz Jemus Junkung Jammeh is the Commander In Chief of The Armed Forces and the Chief Custodian of the Sacred Constitution of The Gambia.

President Jammeh is also the Minister of Defence and holds responsibility over several Departments as listed in the tables below.
 
Kama nchi ya gambia itakuwa na uvumbuzi wa kisayansi wa vitu vyake kwa asilimia 100. Watafanikiwa ila kama bado wanategemea teknologia ya mangaribi, huo uamuzi utakuwa wa kisiasa tu. Na kama yupo serious makablasha yote ya ikulu awe amesha yabadili na kuwa ya lugha ya kikwao halafu aangalie atashare mawazo na nani. Hata tv zinazozungimza lugha ya kigeni azifingie.
 
Kwa hali jii bora iwe hivyo..........

386433_268794723163431_104471662929072_754611_630061926_n.jpg

Duh. Hii picha mbaya sana
 
Wangeanza wakati wanapata uhuru, kwa sasa wamechelewa.

Wangewaiga:

Russia
China
Korea (North and South)
Germany
France
Vietnam

Hawakutumia kingereza still wanapata maendeleo
 
Wtf! Sijapenda Kiswahili kilichotumika kufikisha habari hii
 
Back
Top Bottom