Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kibaraka Adama Barrow -Gambia tayari ameshatimiza ahadi zake za uchaguzi zilizomuingiza madarakani kwa nguvu!
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi ya Uingereza (juu pichani) ajulikanye kama Boris Johnson tayari nchi ya Gambia imeshatuma maombi ya kujiunga upya na Jumuiya ya Kikoloni chini ya Malkia Elizabeti ijulikanyo kama The British Empire and Commonwealth vile vile imeshasimamisha mchakato wa kujitoa ICC!
Kwa kumbukumbu nchi ya Gambia chini ya Raisi Jammeh aliyepinduliwa na Majeshi ya nchi za Kiafrika wakati wa Utawala wake aliindoa nchi ya Gambia kutoka Jumuiya ya Kikoloni ya British Commonwealth na vile vile alianza mchakato wa kusitisha Uanachama wa nchi ya Gambia na ICC, ambapo alikwenda mbali sana kuliko Mwafrika anavyoruhusiwa kwenda na Mzungu!
Sasa Kibaraka Barrow anaweza anaweza kuchill na kusubiri uchaguzi mwingine!
Muafrika ni Mtoto wa Muzungu!
Boris Johnson says Gambia to rejoin Commonwealth 'as soon as possible'