Wana theology,wataalam wa biblia na wale Wana historia napenda kuwasilisha swali kwenu nikitaka kujua mji wa galilaya ambao umetajwa kwenye biblia kwa Sasa uko katika nchi Gani na huo mji kwa sasa unaitwaje?
Miji kama ya nazalete,sodoma na gomora n.k iko katika nchi Gani na kwa Sasa inaitwaje?maswali ni mengi naimani mengine yataibuka kulingana na Comment za wadau.