Galaxy s5..nimeingizwa cha kike

Galaxy s5..nimeingizwa cha kike

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
329
Reaction score
180
Wadau mambo niaje,
ebhana jamani mwenzenu nimeingizwa cha kike, nimenunua Galaxy s5 nikadhani original maana njia zote za kutest simu original nilifanya na iyo simu ikakubali ndipo nikainunua kwa mihela mingi tu...Ila nilipoenda kuitumia ndo nikagundua ni tofauti na galaxy s5 original, maana niliangalia features za original kwenye youtube nikagundua ya kwangu haina features za namna iyo..ndipo nikaangalia kwenye mitandao nikaona kuna galaxy s5 model kama yangu ( G 9006V ) wanaizungumzia wenyewe wanasema sijui ni clone ya s5, daah imeniuma sana wadau.
NATAFUTA MTU kama anaitaka anirudishie hata nusu ya ela yangu tu..maana sijazoea kutumia fake na pia stimu zote za kuitumia hii simu zimekata.
 
pole sana kaka.simu ya gharama kubwa kama hiyo hakikisha unakuwa na mtaalam akusaide kuithibitisha.ona sasa yaliyokukuta pole sana.mimi mwenyewe nilinusurika kuuziwa s4 clone kama s4 original tena na member wa jf mungu saidia nikawa na vijana kama wanne wataalam sana wa kutambua simu feki.,nakwambia jamaa aliona aibu mpaka basi
 
Daaah. .hilo Ni pigo ila kama utauza kwa nusu bei am sure soon utapata mteja
Simu za namna hiyo ni kununua voda shop
Tigo shop
Mawakala wakubwa wa electronics
 
Pole sana kaka, mimi niliingizwa mjini mpaka leo ile Clone ni matatizo ishakuwa pambo nyumbani.
 
Wadau mambo niaje,
ebhana jamani mwenzenu nimeingizwa cha kike, nimenunua Galaxy s5 nikadhani original maana njia zote za kutest simu original nilifanya na iyo simu ikakubali ndipo nikainunua kwa mihela mingi tu...Ila nilipoenda kuitumia ndo nikagundua ni tofauti na galaxy s5 original, maana niliangalia features za original kwenye youtube nikagundua ya kwangu haina features za namna iyo..ndipo nikaangalia kwenye mitandao nikaona kuna galaxy s5 model kama yangu ( G 9006V ) wanaizungumzia wenyewe wanasema sijui ni clone ya s5, daah imeniuma sana wadau.
NATAFUTA MTU kama anaitaka anirudishie hata nusu ya ela yangu tu..maana sijazoea kutumia fake na pia stimu zote za kuitumia hii simu zimekata.

Pole sana mkuu, Hebu tuanzie hapa kwanza ni njia gani ulitumia kutest kama ni fake au genuine?
 
asante kaka, kuna uzi mmoja niliuona humu jf uliorodhesha special codes za kutambua originality ya galaxy
nilizijaribu zooote na zikakubali kaka,tena mpaka ile ya *#0*# halafu kwenye sensor na ika sense vizuri tu...zaidi ya hizo njia sikuwa na ujanja mwingine wa kufanya
 
Daaah. .hilo Ni pigo ila kama utauza kwa nusu bei am sure soon utapata mteja
Simu za namna hiyo ni kununua voda shop
Tigo shop
Mawakala wakubwa wa electronics

kaka nimejifunza kaka sirudii teeeena, yaan sina mizuka tena na kuitumia japo ina specification kubwa tu zaid ya nnayotumia sasa ila mizuka yoote imepotea kaka..
 
Kujua simu original bonyeza *#0*# chagua sensor then sogeza mkono wako itavibrate utaiona rangi ya kijani vizuri
 
icho ndicho kimeniingiza mkenge mdau..maana nilifanyas ivo na ikakubali nikajua original kumbe ndoivo siju mnaziita clone
 
Mkuu mi nina 100,000/= ni PM nimalize biashara.

nakushauri kama ukinunua usende kufanya hujuma ya kumuuzia mtu kwa bei ya orgn ni mbaya sana,inauma sana,
 
asante kaka, kuna uzi mmoja niliuona humu jf uliorodhesha special codes za kutambua originality ya galaxy
nilizijaribu zooote na zikakubali kaka,tena mpaka ile ya *#0*# halafu kwenye sensor na ika sense vizuri tu...zaidi ya hizo njia sikuwa na ujanja mwingine wa kufanya

Kujua simu ya samsung ni original bonyeza *#0*# chagua sensor then sogeza mkono wako kwenye screen ya simu yako, mkono uwe kama unakaribia kugusa scteen hiyo. Kurespond simu orginal ya samsung itavibrate na screen kubadilisha rangi kuwa kijani. Kiukweli hapo huwa nimeridhika kuwa simu ni Orginal ingawa najua kuja wajuzi zaidi they can come & give us a lesson.
 
Clone haitofautiani sana na original. Labda uwe mtundu wa kuchezea simu ndiyo unaweza kutofautisha. Ile ya *#0*# hata kwenye clone ipo. Njia nyingine ni hii,. Clone ina mgongo wa pembeni ni wa plastic ulio pigwa rangi ya siliver ambao unchubuka ukitumia kucha, origina ina mgongo wa chuma wenye silver ambao hauchubuki hata ukitumia jiwe. Njia nyingine ni kuangalia camera. Mfano utakuta original ni 13Mp ukipiga picha yake ina kuwa quality sana. Clone wameandika camera ina 13 mp lakini ukipiga picha, ukienda kwenye camera setting unakuta imeandikwa 4mp. Njia zingine zinaitaji utundu muulize chief-mkwawa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa samsung tu

Lakini pia kwa simu yyt ya android unakwenda kwenye application→setting→about device/phone→ android version then fanya kama una-i-touch several time bila kuacha kuachia gap ike double clicking, ita respond kwa kuonesha icon ya android na kuonesha version ya android ya simu husika. Hiyo version itatokea kwa ku-popup.
 
Wadau mambo niaje,
ebhana jamani mwenzenu nimeingizwa cha kike, nimenunua Galaxy s5 nikadhani original maana njia zote za kutest simu original nilifanya na iyo simu ikakubali ndipo nikainunua kwa mihela mingi tu...Ila nilipoenda kuitumia ndo nikagundua ni tofauti na galaxy s5 original, maana niliangalia features za original kwenye youtube nikagundua ya kwangu haina features za namna iyo..ndipo nikaangalia kwenye mitandao nikaona kuna galaxy s5 model kama yangu ( G 9006V ) wanaizungumzia wenyewe wanasema sijui ni clone ya s5, daah imeniuma sana wadau.
NATAFUTA MTU kama anaitaka anirudishie hata nusu ya ela yangu tu..maana sijazoea kutumia fake na pia stimu zote za kuitumia hii simu zimekata.

skuiz wachina wanajuwa kukopy kila kit ktk software ila hardware wanafail kuwen makin na sim wanachange hasa s4 mini nyingi ni kenge... au angalia sim gsmarena n'a tamia antutu au cpu checker
 
Lakini pia kwa simu yyt ya android unakwenda kwenye application→setting→about device/phone→ android version then fanya kama una-i-touch several time bila kuacha kuachia gap ike double clicking, ita respond kwa kuonesha icon ya android na kuonesha version ya android ya simu husika. Hiyo version itatokea kwa ku-popup.

Kwani simu fake hai respond uki click continously kwenye android version? # asking
 
Sasa hizo clone zina warranty?maana kila kitu sawa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom