Ha ha ha haaa, noma ni kununua clone kwa bei ya original, Mimi ya kwangu ni clone lakini kama original vile na natamba nayo nimechukua kwa 150k tu.
NIPE JINA NA CONTACT ZA DUKA ULONUNULIA S5 CLONE MKUU NAMI NKANUNUE.

Mimi kuna mchizi alitoka NATO DSM akaniletea kwa mkoa huku mkuu
mkweli wa mambo km umeshadownload hyo cpu z leta mrejesho wa ukwel wa mambo hapa,,haha