Galaxy s5..nimeingizwa cha kike

Galaxy s5..nimeingizwa cha kike

ila wadau naomba kuuliza nini maana ya clone?!! au maana yake ni ya mchina?
maana naona hii simu kila kitu kinakubali kama galaxy nyingine na ipo faster tu, ram 2gb,memory 16gb, camera ni 13mp, ina playstore na nadownload vizuri tu,pedometer ipo,hear beat sensor ipo, compass ipo,fingerprint pia ipo, kwa anaejua ubovu wake anijulishe mapema tafadhali ili niiweke vizuri niiuze maana bado ni mpya kabisa kwenye box lake
 
Sa we ufake wake uko wapi na kitu gan kimekufanya ujue ni fake
 
Sasa hizo clone zina warranty?maana kila kitu sawa??

Hazina ndiyo maana zinauzwa bei ndogo. Kuna vitu wanavichakachua kutoka kwenye original. Ila kwa matumizi ya kawaida inafaa. Ila kwa wale wenye matumizi makubwa haifai siyo nzuri. Kama ww ni mtundu ilikujua kuwa hii ni original, jaribu kujipa muda nenda kwenye play store download app inayoitwa CPU-Z ile ndiyo itakueleza yote kuwa hii ni clone au original
 
huwezi kujua simu fake kwa upande wa software hii ni android kila kitu kinaweza kubadilishwa hadi imei, hizo imei na namba mnazobonyeza si kigezo cha kujua simu fake sababu wachina nao sio wajinga wanazieka na wao hizo namba. kama mtu kaweza kuclone simu nzima ndio atashindwa kueka lcd test? tumia tu akili ya kuzaliwa.

njia ya uhakika ya kujua simu fake ni kwa kuangalia hARdware zake kuanzia processor, ram, internal memory na hizi haziangaliwi kijuujuu inabidi utumie njia maalum maana wanaweza kuandika simu ina 2gb ram kunmbe ina 512mb wanaweza kukwambia ina exynos kumbe ina mediatek. download app inaitwa cpu z itascan hardware na kukuambia kilichomo ndani

kwa maelezo zaidi angalia hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...or-ya-simu-na-kuijua-simu-fake-android-3.html
 
Mimi sijui hii ya kwangu ndio hizo au lah, ninachojua ni kwamba ntaitumia tu, ni Galaxy Grand, ndio niko nayo hata sijaifungua nikaona huu uzi nimeshia kutetemeka tu, sijanunua Dar nimemuagiza mtu from abroad...how do I know kwamba ni original au Clone?
 
Hahaha Eli usinifurahishe
Kwani imeagizwa nchi gani?
Maana simu from some countries ni super brand
Ebu tueleze umeagiza from where
 
Sa we ufake wake uko wapi na kitu gan kimekufanya ujue ni fake

mkuu nilikuwa nacheki youtube kuna clip nyingi tu wanaelezea hidden features za s5..baada ya kuangalia ndip nikawa nazitafuta kwenye clone yangu nikazikosa...feature zenyewe ni kama remote control, single hand use, modes za camera, increase sensitivity ( ukiset on hii inafanya screen touch irespond na kitu chochote kile,kijiko,kisu,msumali,peni ,hata ukiwa umevaa gloves we unaclick tu),na nyinginezo kibao
 
Mimi sijui hii ya kwangu ndio hizo au lah, ninachojua ni kwamba ntaitumia tu, ni Galaxy Grand, ndio niko nayo hata sijaifungua nikaona huu uzi nimeshia kutetemeka tu, sijanunua Dar nimemuagiza mtu from abroad...how do I know kwamba ni original au Clone?
Mkuu visikuumize kichwa kwani jf siinaingia na mitandao mingine? Je simu haupokei? Zote mbwembwe tu hizo kibaya nikununua kiti fake kwabei ya original lakini kama uneisha nunua usitetemeke! Mimi hapa nimeambiwa S4 original inamgowa crome ya chuma sasa yangu imeishazeeka naona ni plastic inamaana nimeisha pigwa! Kwani kwa vigezo clone zina vigezo vyote nakama ni duka huwezi kuanza kuchubua simu ya watu eti kutizama kama ni chuma au plasitic au kuomba computer uingie katika site kuulizia specifications hiyo simu wengi wameishaumizwa!
 
huwezi kujua simu fake kwa upande wa software hii ni android kila kitu kinaweza kubadilishwa hadi imei, hizo imei na namba mnazobonyeza si kigezo cha kujua simu fake sababu wachina nao sio wajinga wanazieka na wao hizo namba. kama mtu kaweza kuclone simu nzima ndio atashindwa kueka lcd test? tumia tu akili ya kuzaliwa.

njia ya uhakika ya kujua simu fake ni kwa kuangalia hARdware zake kuanzia processor, ram, internal memory na hizi haziangaliwi kijuujuu inabidi utumie njia maalum maana wanaweza kuandika simu ina 2gb ram kunmbe ina 512mb wanaweza kukwambia ina exynos kumbe ina mediatek. download app inaitwa cpu z itascan hardware na kukuambia kilichomo ndani

kwa maelezo zaidi angalia hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...or-ya-simu-na-kuijua-simu-fake-android-3.html

mkuu asante sana..ngoja nidownload hii software ili nijue kama na izi memory 16gb,ram 2gb na vikolokolo vingine i=ni vya kweli au lah!! kama si vya kweli walah naivunja
 
mkuu nilikuwa nacheki youtube kuna clip nyingi tu wanaelezea hidden features za s5..baada ya kuangalia ndip nikawa nazitafuta kwenye clone yangu nikazikosa...feature zenyewe ni kama remote control, single hand use, modes za camera, increase sensitivity ( ukiset on hii inafanya screen touch irespond na kitu chochote kile,kijiko,kisu,msumali,peni ,hata ukiwa umevaa gloves we unaclick tu),na nyinginezo kibao

Du! Pole sana mkuu
 
mkuu asante sana..ngoja nidownload hii software ili nijue kama na izi memory 16gb,ram 2gb na vikolokolo vingine i=ni vya kweli au lah!! kama si vya kweli walah naivunja

Hahaha hasira haSara usivunje

Uza kwa bei ya haSara tu kuliko kuvunja kabisa
 
Kujua simu original bonyeza *#0*# chagua sensor then sogeza mkono wako itavibrate utaiona rangi ya kijani vizuri

na wewe umeshalizwa tayari, poleni sana! hizo takataka za Samsung muwe mnanunua kwa agent, ni majanga, wachina, wakorea na wavietnam wanazionea sana bidhaa za samsung, wanatengeneza near perfect clones!
 
Lakini pia kwa simu yyt ya android unakwenda kwenye application→setting→about device/phone→ android version then fanya kama una-i-touch several time bila kuacha kuachia gap ike double clicking, ita respond kwa kuonesha icon ya android na kuonesha version ya android ya simu husika. Hiyo version itatokea kwa ku-popup.

eeeh mkubwa hii hata clone inarespond vizur kabisa. achana kabisa na hii njia utakuja lia.
 
Hahaha Eli usinifurahishe
Kwani imeagizwa nchi gani?
Maana simu from some countries ni super brand
Ebu tueleze umeagiza from where

hahahahaa Mpwa sasa mbona unanicheka tena? Ni Dubai na hawa jamaa huwa siwaamini sana ndio maana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom