Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Huyu GADO anaifahamu Mabwepande kweli huyu??? Huyu jamaa hataki watu wa kumshushua eti!
Ila vidole vingine vyote ni sawa?
wa kulaumu namba moja ni mzazi.
hao wengine tutawakuta huko huko waliko.
Huyo wa kwanza kabisa naona anachekelea.