GADO umejua kunifurahisha!

GADO umejua kunifurahisha!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
[emoji16][emoji16][emoji16]Hicho kichapo kinachoendelea hapo pembeni kinanichekesha kama mazuri vile![emoji1787]

~Source😀W instagram page

Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Waliobeba nimemuona Musiba, Disi Sabaya, Mzee wa Malofa, Prof.Lipumba; Dr al Bashiru, Bashite, Faster Faster nk.

Wanaokongoli yuko Mamboleo, Kamanda Zirro, Murroto... mwenye machine nimemsahau

hata aliebebwa nmemsahau,japo anafanana na Tundu Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naon pm yupo pia

nguvu ya anonymous [emoji185]
 
......."No one but you" ukiangalia kwa makini wanasifu kwa kulazimishwa na maumivu makali sana wanayapata, hawako na furaha, cheki hao waliosema 'Magufuli for life'. Hamna namna maana nyuma kuna wazee wa vitu vya incha kali, utashughulikiwa tu. Hiyo fimbo ya kifalme imeandikwaje? Kwaaliweza isoma.
 
Back
Top Bottom