Gadaffi: "Holly Bible is FAKE"!!

wakiipata Biblia "original" ...

sio wakiipata, sema akiipata(kwani ni Gaddafi aliyesema)...sasa wingi wa nini?? hivi kwanini unapendaga sana ku-generalize vitu!!?? deal na Gaddafi na its wrong kujumuisha waislamu wengine(ambao ni majority) kama mimi ambao hatuna time na huo upuuzi wa dini gani ni sahihi na ipi sio sahihi!!! againi, sema akiipta hiyo biblia "original".......please!.
 
Kama haumuungi mkono bas Condemn tujue kuwa haukubaliani naye. labda ukikaa kimya ndio maana kuna mdau hapo juu kauliza mbona hatuoni ndugu zetu waislamu wakichangia hoja hii?
 
Nakubaliana na Gadafi kwa asilimia 100. He is stating the obvious. We all know its fake. Gadafi continue to use your freedom of speech. You are doing the right thing brother.
 
Kama haumuungi mkono bas Condemn tujue kuwa haukubaliani naye. labda ukikaa kimya ndio maana kuna mdau hapo juu kauliza mbona hatuoni ndugu zetu waislamu wakichangia hoja hii?

its not about you!! muulize huyo mwanakijiji juu ya msimamo wangu kuhusu upuuzi wenu huu wa kidini. kwanza hii ipelekwe kwenye jukwaa la dini ili wakinamtindiowaubongo na shoga zake wapate kuchangia vizuri.

maneno yameongea na Gaddafi(rais wa Libya), kayaongelea Uganda, tena ni maneno yake binafsi, wewe na wenzako mnaojiona mna busara mnakuja hapa na kuanza kukandamiza kila muislamu!! Ooooooh " sie tunatumia akili, ingekuwa mkristo kasema hivyo ungeona bla bla bla"...sasa hapa mnafanya nini?? yale yale ya kina Ponda na Njozi, kwani huna tofauti nao!!! watu wenye hekima, huwa hawabishani dini, watu kama Gaddafi ni wa ku-ignore, watu kama wewe na wenzako mna-bash waislamu tena wa TZ kwa misstatement za Gaddafi pia ni waku-ignore!!

kisa cha mie kupost ile post pale juu ni kwaajili ya MKJJ and I hope kapata message yangu......lakini wewe Pope tafuta mtu wa kubishana nae dini, sio mimi kwani I know better. na kwa taarifa yako asilimia kama 98 ya waislamu TZ na dunia nzima wanamisimamo kama yangu na hata wakristo wenye akili kama zako pia ni minority......

thanx, najitoa ktk huu upotezaji wa muda ulokithiri!! mungu awabariki, happy good friday.
 
'Uislamu ni Uarabu'.
Hivi hizo fedha Ghadafi alizotengenezea 'Msikiti' hapo Uganda kwa nini asiwasaidie 'Waislamu koko' wa Darfur ambao wanauwawa kama nguruwe na 'Waislamu wa kiarabu' kutoka Sudani ya kaskazini?
Ukweli, Uislamu ni kukariri tu.
Mungu Muumba wa Mbingu na nchi asaidie viumbe wake.
 
Binafsi sikuwa na nia ya kumkandamiza mtu yeyote ila kwa statement ya Gadaffi tunaisikia toka kwa watu wengine, mtu kama yeye ambaye ni Public Figure kusema kauli ile ndio ilonitia mimi shaka, sikujua kama nimekukwaza kaka YournameisMINE, ufinyu wa akili!! binafsi sijatumia maneno yoyote ya kejeli iwe juu yako au Uislamu kwa ujumla, rekebisha lugha ndugu yangu. kama inavyosemwa hoja hujibiwa kwa hoja si kwa matusi au masimango.

Wabillah Tawfiq.
 
Nakubaliana na Gadafi kwa asilimia 100. He is stating the obvious. We all know its fake. Gadafi continue to use your freedom of speech. You are doing the right thing brother.

Haya ndiyo mawazao hasa ya waislam bila kuficha makucha yao na ndiyo sik zote wataishia pabaya .Wao si wasafi hata kidogo lakini kila siku na maneno mengi na hata kuvaa mabomu.Haya mie naangalia sasa .
 
'Uislamu ni Uarabu'.
Hivi hizo fedha Ghadafi alizotengenezea 'Msikiti' hapo Uganda kwa nini asiwasaidie 'Waislamu koko' wa Darfur ambao wanauwawa kama nguruwe na 'Waislamu wa kiarabu' kutoka Sudani ya kaskazini?
Ukweli, Uislamu ni kukariri tu.
Mungu Muumba wa Mbingu na nchi asaidie viumbe wake.

Duh Mbarikiwa maneno mabaya hayo. Acha kukashifu dini ya Allah. Si vizuri. Nakuombea kwa Allah akubariki utoke kwenye upotevu.
 
Mnh, ama kweli,

...'Utamdhulumu' mtu kila kitu, isipokuwa Imani yake!!!
 
Haya maneno tumekwisha yasoma hapa JF kutoka kwa Waislamu.
Tatizo hapa ni moja yameongelewa na kiongozi wa nchi moja akiwa ndani ya nchi nyingine akichanganya rasmi Siasa na Dini.

Waislamu wanajaribu kujitenga na Hotuba hii ya Muamar Gadaff, lakini ukweli ni kwamba Waislamu wengi wanaamini kwamba Biblia ya wakristo ni Fake kwa sababu imeliondoa jina la Mohamed na ukristo kwa ujumla ni ushetani.
Wengine wanaamini kwamba maneno ya Yesu katika Kitabu cha Yohana ndani ya Biblia yanatabiri ujio wa Mohamed hapa duniani kwa usahihi,ila maneno mengine yote baada ya hayo ni uzushi wa kibinadamu.

Muislamu mwenzenu Gadaff kaweka maneno ya Waislamu wengi wanao tetea hoja kama hii katika kona nyingi za dunia ikiwa ni pamoja na hapa JF katika mzani wa Dini na siasa. Kuogopa mpakazo mnajitenga naye. Huo ni unafiki.
 
Katika suala kama hili hapo ndipo tunaona ni akina nani walio na uvumilivu hasa linapokuja suala la dini. Gaddafi ni wa kupuuzwa tu. Wakristo wana uvumilivu mkubwa sana na mambo ya dini na hawana shari. Lakini tujiulize, maneno hayo hayo ya Gaddafi yangezungumzwa na Rais mwingine mkristo dhidi ya Quran au uislam, yaani kwa mfano aseme kwamba Quran ni fake, fikiria nini ambacho kingekuwa kinatokea sasa hivi duniani. Ingekuwa ni maandamano dunia nzima, balozi ingeshachomwa moto n.k. Kimsingi,kile unachoamini kuwa ni kweli kama kuna mtu mwingine haamini, ni yeye. Kwa nini Rushdie anatafutwa ili auwawe, eti kwa sababu tu ameandika kitabu kinachoelezea mapungufu ya uislam?. Kwa nini mawazo yake yasichukuliwe kama yake na akapuuzwa tu maana haujui uislam?. Gaddafi ni wa kupuuzwa tu maana ukristo haujui na hapaswi kuzungumzia ukristo asioujua. Yeye alipaswa kuzungumzia uislam ambao anaufahamu. Waislamu hawana uvumilivu wa kidini.
 
Speaking at Nakivubo Stadium on Wednesday, where he led thousands of Muslims who celebrated the birth of Prophet Muhammed, Gadaffi asserted that the Bible was not the one revealed to Jesus and the Old Testament was not the one which Moses received from Allah.

In the process of doctoring the Bible, Gadaffi argued, the reference to Mohammed had been deleted. He added that any scripture that failed to mention Mohammed was fake. He, therefore, called for the search for the ‘original Bible’.

So that the Current Bibble is FAKE?

By
New Vision-Uganda

I believe now we have to search for the original Gadaffi due the one we see is fake one....
 
Nakubaliana na Gadafi kwa asilimia 100. He is stating the obvious. We all know its fake. Gadafi continue to use your freedom of speech. You are doing the right thing brother.

....HE IS DOING THE RIGHT THING .......AT THE WRONG PLACE.......AT THE WRONG FORUM(politics)......!AT THE WRONG POST...(au pioneer)!?
 
I believe now we have to search for the original Gadaffi due the one we see is fake one....

Una maana huyu Ghadafi aliyekuwa Uganda juzi na Museveni ni comedian au? nahisi ndo yule yule aliyemsaidia Amin kumpiga Museveni na sasa anamsidia Museveni kukashifu Ukristo kwenye nchi ya Wakristo. Huyu kweli kazeeka.

Inaonyesha anayo Biblia original, lakini pia inashangaza kwa nini hakuwachallenge wakristo kwa kuwaonyesha at least mistari anayosema imefutwa...
 
Can someone pls enlighten me on this? What exactly is missing about Moody in the Bible? Mwislam mmoja aliwahi kuniambia kuwa Yesu alipowatokea wanafunzi wake na kuwaambia "Nitawatumia msaidizi" alichomaanisha ni Mohammed na si Roho Mtakatifu kama waKristo tunavyoamini.
PS Mods I m sorry if this isnt d right forum 2 ask.
 
its not about you!! muulize huyo mwanakijiji juu ya msimamo wangu kuhusu upuuzi wenu huu wa kidini. kwanza hii ipelekwe kwenye jukwaa la dini ili wakinamtindiowaubongo na shoga zake wapate kuchangia vizuri.

Taafadhali saaana dada/kaka mie, SINA SHOGA..usiniharibie mfungo wangu,ohooo...
 
Nakubaliana na Gadafi kwa asilimia 100. He is stating the obvious. We all know its fake. Gadafi continue to use your freedom of speech. You are doing the right thing brother.

Kinachowakera waislamu ni ukweli kuwa THE KORAN APPROVES THE BIBLE, BUT THE BIBLE DOES NOT DO THE OPPOSITE..

Statement kama hii ya Gadafi (cbuh) ni mwito kwa kila muislamu kujua nini hapa kimejificha..Na kwa nini?

Wakatabahu..
 
Back
Top Bottom