and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
kazi na majukumu ya mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu, ICC ni zipi kwani?🐒Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
Anadai Ruto amemfanyia uhalifu na. Kautaka kumuuakazi na majukumu ya mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu, ICC ni zipi kwani?🐒
uhalifu wa kivita au?Anadai Ruto amemfanyia uhalifu na. Kautaka kumuua
Acha kuwa serious we boyaAcha uongo. ICC haiusiki na kesi binafsi. Kasome the Rome Statute ya mwaka 1998