Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.