Inamaana huamini kuwa wanafadhiliwa? Na kila mmoja atajiunga chama chake na wengine wataomba kurudi baada ya ufadhili kuisha.Hawa kenge hivi wanatafuta nini, hii inatoa picha kweli kuwa wanafadhiliwa. Waindoke kimya kimya, kelele tumechoka
Njaa tu hizo, halafu atakwambia mtu umpiganie mwanasiasa apate madaraka hali yenyewe ndio kama hiiWakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
G55 wamempiku hadi Lema kwa mfululizo wa press conference? dah, maisha yanaenda kasi sana aise,Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
Wa Dar waongelee Dar, Wa Moshi waongelee Moshi nkIna maana media za Dar hasikiki Moshi na Morogoro au lengo lao kuzurura wamekosa cha kufanya Dar?
Lema kiboko, line yake ilishindwa kupokea matone akaitisha press kuisema kampuni husika 😅😅G55 wamempiku hadi Lema kwa mfululizo wa press conference? dah, maisha yanaenda kasi sana aise,
kweli G55 ni moto wa kuotea mbali na earthquake yao dah
Nyie si mmesema anayetaka kuondoka na aondoke na wao ndio wanatangaza kuondoka Chadema sasa! Au hupendi?Hizi press conference ni za kazi gani mbona hawajielewi hawa?
Mnakinukisha lini nyie mazuzuWatanzania sio wajinga.
Jamani si kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Yaani tunayopigania CHADEMA ndiyo hayo hayo tunayapinga yakiwa upande wetu.Wajinga sana hao!!!
Kwa heshima yako fafanua mkuuG55 ni Njelu Kasaka
Hao wengine ni pimbis tu
G55 ni kundi lililoanzishwa na baadhi ya wabunge wa Tanganyika ndani ya Bunge la Muungano wakati wa Utawala wa hayati Mwinyi na kiongozi wa Hilo kundi alikuwa Mh Njelu Kasaka kutoka Jimbo la akina Lucas MwashambwaKwa heshima yako fafanua mkuu
Weekend njema
Napata original black label hapa
Anaedharau kambi pinzani ndani ya Chadema huenda alikuwa mkimbizi wa muda mrefu kwamba hajui ambayo yanaendelea nchii hii. CUF ilikufa kwa sura hiyo..CUF has become history, almost no more. The same,kwa movement hii ya G55 Chadema is on the same path through which CUF took to it's total death. A matter of time. Anaebisha kuwa CCM ni GIANT muda utatuambia.Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendeleahivi hawaoi walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla na anakuua, inakuwa ni fezea
Wacha tuendelee kukinga maji yanayovuja tukaflashie chooni!
Wameshakula advance so lazima kazi ifanyike kwa namna yoyote ileHizi press conference ni za kazi gani mbona hawajielewi hawa?
Press ya Mdude haijafadhiliwa. Ila ya wanaotaka kujitoa Chadema, wamefadhiliwa sio? Kumbe wanachokisema wanaotoka ni kweli kwamba sasa hivi Chadema imejaa chuki, roho mbaya, visasi na ubinafsi! Na wote wenye akili wataondoka tu. Na usishangae hata Mnyika akaondoka maana sio aina ya siasa anayoijua!Inamaana huamini kuwa wanafadhiliwa? Na kila mmoja atajiunga chama chake na wengine wataomba kurudi baada ya ufadhili kuisha.