G.P.A ya mbunge David Silinde

Hivi mtu akisoma bajeti ina maana yeye ndo kaiandaa peke yake? Au GPA inamsaidia kusoma vizuri kiswahili fasaha kwenye ripoti?????
 
Sichangii mpaka mlete G.P.A za King Msukuma,Godluck Kombani na Agnes Marwa...
 

Mpaka Leo unawaza Kuwa na Grade Point Average kubwa ndio kutoboa na kujua vitu katika maisha?daaah
 
Mbona Ole sendeka mlimzoza Sana kumbe mkuki Kwa nguruwe......

Ni hao! Kwangu mie paper qualifications are mere papers and nothing else, I dont judge a book by its cover only, nachimbua content kwanza na kuamua baada ya kukisoma baaaba!
 
Nafikiri hoja ya msingi ni kwamba ELIMU BORA NI UWEZO WA MTU KUTOA KITU ALICHONACHO KATIKA JAMII NA SIO CHETI AU UKUBWA WA GPA.lkn hizi hoja za ooh alisoma UDSM mara vyuo vingine ni first class ni za watu wenye uwezo mdogo sana katika kufikiri. Mfano kuna watu tunaona ni first class hapo UDSM lkn ukiangalia performance yao bungeni au hata katika jamii unashindwa hata kuamini kama huyo mtu aliwahi fika UNIVERSITY.
Mnaojadili ubora wa ELIMU kwa kuangalia UDSM kumbukeni wote unaowaona wanaliingiza hili taifa GIZANI asilimia kubwa ni graduates wa UDSM, JE NINI UMUHIMU WAKE?
 
Tuna rundo la Maprofesa wenye first class wametusaidia nin katika taifa hili?
 
None sense!
 
Warembo wote kwenye mitAndao wameeka university of daresalem na hata std 7 wengine hawajafika.Mwenzenu amesota miaka 3 munaleta ngomjera.Mbona hamuwaulizi warembo kua wamepita kweli
 
Mi ninayo :

Kapata PASS

ana mshahara wa 12 Mil per Month

Wewe una 1st Class ya St .Joseph- Unapika chapati kwa wahindi mshahara wa Laki 3 per Month!

Mwanaume anasifiwa nini hapo?
 



 
GPA ni upuuzi mtupu. Vyuo vya binafsi wanatoa ma GPA makubwa lakini uwezo wa mwenye GPA ni mdogo sana.
 
Umeona eeh!! Tena wale wa first class ndio wanaoharibu kazi maofisi huku na doctorate zao za kukaririsha.
Pass= gentleman's degree . Shida ya nini? Pata pass nenda ega mpunga basi! Chukua medicine miaka 6, pigwa na wagonjwa, shida ya nini!
 
Labda aisee huezi jua. Mimi nliishia form two baba akanigaia mtaji nkaingia Boda ya Tarekea kufanya biashara.
Mmmh wew inaonekan hata chuo hujafika...gentle ni pass ****** wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…