Aliyekuwa mbunge wa Arusha G. Lema leo jioni wakati mkutano wa ccm ulipoisha watu wakitoka uwanjani walikutana na gari la msheshimiwa huo akitoa ishara ya people power na washabik wake walio ndani ya mjumuiko huo wa CCM wakimuunga mkono uku barabara zima ikilipuka kwa shangwe nje ya ya geti kuu la kutukea uwanjani.
muda mfipi polisi mmoja anayefaamika kwa sura aliova jezi ya CCM akaanza vurungu za kutupiana ngumi na mwanachadema mmoja na kukutana na kipigo kutoka kwa wanachadema
Aisee magamba kwishney,yaani wanatumia mpaka polisi wavae nguo zao wakajaze mkutano?kamanda lema yupo honeymoon soon atarudi ulingoni.
Duh, Ndugu yangu Paka jamaa wanatia huruma kweli, hivi si wangembeba na Le Mutuz ili apate hata kauongo kadogo ka kutuletea hapa?Yametokea Arusha, leo Gambaz walimleta Kinana ajaribu kuokoteza uhai wa ccm, lkn matokeo ndiyo hayo.
Kojoa ulale!!
NB. Angalia kujikojolea.
Kojoa ulale!!
NB. Angalia kujikojolea.
Yule nae kiboko ya njia, yaani ccm kuna vituko mpaka basiumesahau yule polisi aliyetoka moro kwenda dom kugombea UNEC?