SOKON 1
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,134
- 331
Aliyekuwa mbunge wa Arusha G. Lema leo jioni wakati mkutano wa CCM ulipoisha jijini Arusha watu wakitoka uwanjani walikutana na gari la msheshimiwa huo akitoa ishara ya people power na washabiki wake walio ndani ya mjumuiko huo wa CCM wakimuunga mkono huku barabara zima ikilipuka kwa shangwe nje ya ya geti kuu la kutukea uwanjani.
Muda mfipi polisi mmoja anayefaamika kwa sura aliovaa jezi ya CCM akaanza vurungu za kutupiana ngumi na mwanachadema mmoja na kukutana na kipigo kutoka kwa wanachadema katika eneo la nje wa uwanja.
Muda mfipi polisi mmoja anayefaamika kwa sura aliovaa jezi ya CCM akaanza vurungu za kutupiana ngumi na mwanachadema mmoja na kukutana na kipigo kutoka kwa wanachadema katika eneo la nje wa uwanja.