G 55 Acheni Drama za kutoka CHADEMA, anzisheni chama chenu msonge mbele!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,382
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
 
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande Freeman Mbowe zama za uongozi wale na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
ushauri mzuri.
BUT, it seems they are organise, coordinated au unasemaje?
 
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Ukiachwa achika.....wamegoma kabisa
 
maelekezo ya mfadhili wao ni kuwa ili B12 zionekane zimetumikaje lazima waitishe press wakati wanatoka
 
ushauri mzuri.
BUT, it seems they are organise, coordinated au unasemaje?
Kuna aina fulani hivi ya kushawishiana na kuelekezana nini cha kufanya na kwa wakati gani.

Kwa mtazamo wangu kutoka kwa Sasa siyo habari tena bali habari Kwa sasa ni CHADEMA inafanya nini kuhimili kinachoendelea!

Ukichunguza wengi wao wanatoka huku bado wanaipenda CHADEMA. 70% wanaotoka kwa sasa ni bendera fuata upepo au wanadhani wanamkomesha Lissu.
 
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Wana buytime usikute hela waliyoahidiwa bado kuingia wanaogopa kutangaza wanakoenda ila hawa soon wanatapeliwa chezea sisiemu kwenye hela na madaraka!!
 
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Uzuri Watanzania wameshajua mchezo wanaocheza kuwa ni uwakala wa CCM kuiangamiza Chadema lakini umeshindwa kabla ya kuanza
 
Attachments

  • VID-20250513-WA0016(1).mp4
    7 MB
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
WATANZANIA tunajua wanaomuunga mkono hawatakiwi CHADEMA.Wanaitwa team kushindwa
 
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
Tangu wameanza kuhama hakuna mwenye ushawishi hata mmoja ambaye anaweza kupata hata udiwani
 
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.

Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa wanaotoka Kwa 99% ni waliokuwa upande wa Freeman Mbowe zama za uongozi wake na wakati wa uchaguzi.

Ushauri wangu kwao, waachane na hizo drama za kutoka bali wajikusanye waanzishe chama chao au wajiunge na chama kingine wanachoona kinawafaa wasonge mbele!

Muigizaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kutoka jukwaani!
mtu wa kawaida tu anaona chadema kuna tatizo la ndani

hii kuja kutudanganya hapa na posti ya kuzuga hii ni namna ya kukimbia kivuli chenu wenyewe

hawa wanaohama speaks more about your internal problems zaidi ya matatizo yao binafsi

rekebisheni mambo yenu ndani bwana....

hii kuruka ruka na kujifanya shwari ni aina ya utapeli mnajifanyia wenyewe

kama kusingekua na tatizo hata hii posti yako usingeweka to begin with
 
Wapiga dili hao, wameshaahidiwa wabunge 30 wa majimbo ...

Yaani kweli kumbe hawa wahuni waliifanya CDM duka, sasa milango imefungwa wanahaha dadeq na nado mtadeki ofisi za msajili
 
Back
Top Bottom