Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

tugusie kidogo jina la hicho chama, mm ni member wa chama fulani lakini sio freemason tunajihusisha na jua na sayari
Khahahaha....
katika kitabu cha THE LAWS OF ATTRACTION IN THE SECRET POWER. kina eleza sheria za mwanachama wa chama changu kukiri kutotoa siri yeyote ile. Nakutakia maisha marefu.
 
Makubaliano yangu na chama changu bado hakijafikia muafaka wa kutoa siri. Lakini usijali ninachoweza kukuambia ni kuweka nguvu kubwa wa kutafuta wakala ambaye atakuunganisha na chama upendacho, ni wakala tu na aliye muaminifu. Nakutakia maisha mema.
Swaggaz hazitawahi kuisha mimi huasiamini kuweko kwa hivyo vyama kama wanavyosema nijuacho ni uongo mtupu, kama kungekuwepo mimi leo hii ningekuwa shetani kuliko lucifer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makubaliano yangu na chama changu bado hakijafikia muafaka wa kutoa siri. Lakini usijali ninachoweza kukuambia ni kuweka nguvu kubwa wa kutafuta wakala ambaye atakuunganisha na chama upendacho, ni wakala tu na aliye muaminifu. Nakutakia maisha mema.
Nitamjuaje ni wakala wakati hana bendera ya Chama chake wewe ulie ingia nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepapasa tu kuhusu ukweli wa dunia na anayeiendesha....

Endelea kujifunza na utajua hao Skull and Bones ni sisimizi tu,hata Freemason na Illuminati ni sisimizi tu...

Jifunze kuhusu Pindar utapata mwanga kidogo....


Heshima kwako Eiyer
 
Mkuu,

Haya yalishaisha siku nyingi sana na niliomba radhi kwa wewe na wale ambao waliielewa text yangu tofauti na nilivyotaka kumaanisha...

Naomba jambo hili liishe mkuu na sikuwa lengo la mashindano na sijawahi kushindana wala kufikiria hivyo hata siku moja,kilichotokea ni watu wachache kutokuelewa kile nilichomaanisha kwenye post hiyo.....

Siwezi kumzuia mtu kuwaza atakavyo mkuu,nipo JF kwa zaidi ya miaka 6 sasa,sijawahi kabisa kushindana na mtu yoyote kwasababu sioni sababu ya kufanya hivyo na nimekuwa naandika mambo mengi sana hapa.Watu wanaoona hivyo ni fikra zao tu au labda ni uoga wao.....

Nashukuru kwa kunielewa mkuu....


Safi sana Mkuu kuna roho ya hekima na uelewa ndani yako binafsi naiona
 
mkuu fanya kutupa hao pindar tuwajue

Anza na haya maneno kwanza kabla hujawajua hao wagiriki wa kale fumba mambo utawajua robo haya soma sasa

Creatures for a day! What is a man?
What is he not? A dream of a shadow
Is our mortal being. But when there comes to men
A gleam of splendour given of heaven,
Then rests on them a light of glory
And blessed are their days
 
Anza na haya maneno kwanza kabla hujawajua hao wagiriki wa kale fumba mambo utawajua robo haya soma sasa

Creatures for a day! What is a man?
What is he not? A dream of a shadow
Is our mortal being. But when there comes to men
A gleam of splendour given of heaven,
Then rests on them a light of glory
And blessed are their days
Ivi lottery nao wanahusika ba ufreemason??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi nyuzi zingine hizi unaweza kujikuta kweli umeingia kwenye chama fulani aiseee...nasubiri mwisho wake

Sent from myself
 
Back
Top Bottom