Fuvu la mtu wa kale

Kweli ni mabadiliko makubwa sana, najaribu kuimagine after 2000years binadamu atakuaje
 
hahahaaaahaaa haya FuSo
 
Wanawake wa kipindi hicho walikuwa na shida sana kwa upande wa kugegedwa maana sipati Picha mashine za hayo majitu watu.Nahis vibamia vya kipindi hicho ndio leo tunajivunia kuwa fulani ana mpini.
Maumbo ya wanawake na wanaume yalikuwa sawa!!
 
Kweli ni mabadiliko makubwa sana, najaribu kuimagine after 2000years binadamu atakuaje
Safi sana mkuu walau wewe upo na mimi, kwa mfano hiyo miaka 2000 tu wakati wa Jesuis ilikuwa vile sasa je miaka millions ilikuwaje?

After 2000 years yawezekana binadamu akawa anaishi miaka 20 anakufa. Na uzito wake unaweza kuwa kg 15 hadi 20 tofauti na uzito wa sasa wa 70 kgs hadi 120.
 
Tafuteni movie moja inaitwa Jack the jayant Au DJ Afro anakwambia inaitwa majitu ata YouTube ipo ndo utajionea ukubwa wa hao viumbe ulivyo
 
Ina maana hizi rekodi za kina usain bolt ni za kuanzia 1960
 
mnara wa Babel haupo Misri
kule Misri kuna maPyramids ambayo yalijengwa na watumwa kutoka huku kwetu na walikokota kusaidiana na Wanyama km Tembo punda nk
hii nadharia ya kuwa eti binadamu alikuwa na umbo kubwa ni uongo na mtengeneza picha kahakikisha hivyo kwenye You Tube aliyotuwekea member humu
FAKE KABISA
ANGALIA uongo ulipokuzwa ktk dk ya 3:50
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…