kuna ukweli Fulani kuhusu binadamu wa kale kuwa wakubwa kuliko wa sasa. Niliwahi kwenda makumbusho ya mfalme ya nchi moja ya ulaya kuna vitu vya kifalme miaka ya kabla ya Yesu vimehifadhiwa kuna nguo za kivita za chuma ambazo hazipitishi mikuki zilikuwa ni kubwa ile fulana ya chuma ukivaa binadamu wa sasa ni kama umejifunika hema pia kofia zao za kivita za chuma ukivaa unaenda mpka chini jinsi zilivyokuwa nzito[/Q
ni kwamba kwa nini tuwe na miili mikubwa? ili hali kila kitu kimekuwa simplified kwa computer na nyenzo nyingine kama magari,ndege, nk nk
Ushahidi kwa namna hawa binadamu wakivyokuwa wakubwa ni pale Misri kwenye ule mnara wa babel, mnara huu mpaka leo upo na kuna mawe makubwa sana yamepandiswa juu - jiwe lina uzito wa tani 3 hadi tano. wakati huo kulikuwa hakuna Technologia ya kuyanyenyua thats means hawa binadamu walikuwa na uwezo wa kunyenyua mzito wa uzito wa zaidi a tani kumi.kuna ukweli Fulani kuhusu binadamu wa kale kuwa wakubwa kuliko wa sasa. Niliwahi kwenda makumbusho ya mfalme ya nchi moja ya ulaya kuna vitu vya kifalme miaka ya kabla ya Yesu vimehifadhiwa kuna nguo za kivita za chuma ambazo hazipitishi mikuki zilikuwa ni kubwa ile fulana ya chuma ukivaa binadamu wa sasa ni kama umejifunika hema pia kofia zao za kivita za chuma ukivaa unaenda mpka chini jinsi zilivyokuwa nzito
nafikiri Development of Man inaweza kuwa na ukweli, ila hatujui baada ya miaka Mil moja ijayo nafikiri binadamu watakuwa wanaishi wiki 4 kisha wanakufa.Kwa ushahidi huu ni ipi theory sahihi ya kuwepo binadamu kati ya theory ya Creation of man na ile ya Development of man
Nabii Adam alikua na urefu wa futi 60Unaambiwa. Mzee Adam mwenyewe.
Alikuwa mrefu.
Yaani uunganishe mistimu miwili ya umeme. Ndo urefu wake. Bonge la MTU.
Genetic hubadilika kizazi kwa kizazi; hapa tunaongelea miaka Mamillion yaliyopita; pia kumbuka miaka hiyo kulikuwa hakuna clinic, Mama anajifungua mtoto asubuhi tena peke yake anakata kitovu, ikifika mchana mtoto anatembea freshi tu na mama anapiga kazi kama kawaida.Hapo ndo najiuliza mimi ...sisi tumepata wapi huu ufupi kwa nini hatukuwa kama wao?
Kuna muda wanasayansi nao kuna maswali ya kuwauliza
Apa ndugu umeongeza chumviGenetic hubadilika kizazi kwa kizazi; hapa tunaongelea miaka Mamillion yaliyopita; pia kumbuka miaka hiyo kulikuwa hakuna clinic, Mama anajifungua mtoto asubuhi tena peke yake anakata kitovu, ikifika mchana mtoto anatembea freshi tu na mama anapiga kazi kama kawaida.
Pia kipindi hicho binadamu wa kale walikuwa hawakai sehemu moja, sasa unakuta wanatoka lets say Africa leo asubuhi, kesho yake ameshafika America au Asia.