Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,206
- 7,452
Ata kwenye biblia matajiri wote walisifika kwenye mifugo na mashambaMali iko shambani mzee mwenzangu
uchumi halisi uko ardhini aidha madini,kilimo au ufugaji fullstop
OohUnachozungumza hakipo sawa. Binafsi nipo kwenye project ya AI africa, sijivuni. AI haiji kuondoa ICT wala computer science isipokuwa inakuja kufanya wawe bora zaidi na wenye matokeo bora zaidi
Sasa Kuna haja ya kumeza code mbalimbali?Unachozungumza hakipo sawa. Binafsi nipo kwenye project ya AI africa, sijivuni. AI haiji kuondoa ICT wala computer science isipokuwa inakuja kufanya wawe bora zaidi na wenye matokeo bora zaidi
code ni part ndogo sana kwenye software engineering. Kinachohitaji mtu ajue structure ya code kuna some issue zinapotoea inakuwa rahisi kujua unaanzia wapi na unaishi wapi, AI ni co pilot wa developer.Sasa Kuna haja ya kumeza code mbalimbali?
Yaani wewe computer science umeipanga kwenye kuandika prompt tu na kutengeneza website?Kufika 2030 nadhani kutakua na uhitaji hafifu sana wa watu waliosoma computer science.
Kwanini? Integration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma watu walimeza code, syntax Kwa ajili ya kutengeneza website au application, sasaivi simple website inatengenezwa na junior tu.
Yaani unaandika prompt chatgpt akutengeneze language nzuri Kwa ajili ya website unayoitaka, then unaicopy, unaenda kuipaste Kwa claude AI, then unatengenezewa code full, unajipatia website yako...
Cha kushangaza interview za UTUMISHI wanang'ang'ana na mambo ya analog ya kuandika code, kama unafatilia mambo ya tenc Kuna mambo ya cloud, azure n.k yote hii ni njia moja wapo ya kuwaonesha watu hawaitajiki kwenye mambo ya tech.
Data analysis, graphics design AI can do better than human issue ni prompt tu,
Umejipangaje mwana tech?
Codes za AI unapoziingiza kwenye mfumo halisi wa computers, computer huchagua codes zile inazozitaka tu na codes zingine huachwa nyuma kwa hio inakubidi uandike vizuri, mfano ukiiambia AI ifanye translation italeta maelezo mengine ambayo wewe huwezi elewa kwa hio lazima ufanye correction ili ieleweke sasa hapo ndipo mtu wa CS anaendelea kubaki palepale na AI itabaki kua km tool tu ya kufanyikisha jambo, sio mtu wa CS ila nimeeleza kwa uelewa ninaofikiria mimi wakija wenyewe wataniweka sawaIntegration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma watu walimeza code, syntax Kwa ajili ya kutengeneza website au application, sasaivi simple website inatengenezwa na junior tu.
Ila mkuu amini usiamini mtikisiko tayari umetokea na utaendelea kujitokeza zaidiYaani wewe computer science umeipanga kwenye kuandika prompt tu na kutengeneza website?
Its seesm hujui computer science wana zaidi ya hapo.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba wao ndio watakuwa wana run the show