Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Pesa mbaya sana.
Hata mataifa makubwa duniani yanaitwa hivyo sababu yana pesa nyingi, na si sababu ya ukubwa wa eneo la nchi au idadi ya watu. Inge kuwa sababu ya ukubwa wa eneo lake hata Kongo inge itwa taifa kubwa.
 

Kuna jibu wamelimeza wanasema ''MFUMO''
 

Well said "The great"
 

Wakati wa Mrema sio sasa!!!! Watanzania wa leo sio wale ni wengine kabisaa
 

Mbona unalialiaaaa......kwani wewe umejipangaje!!!!!!?
 

umenena kweli kabisa
 
Unaota ndoto za mchana, CCM chama dola, Lowassa wenu mtaumbuka tu.

Masuala ya chama dola kwa UKAWA ya leo c rahisi kama unavyo fikiri ndugu yangu sasa lazima chama kikuu cha upinzani mwakan kiwe CCM
 
Masuala ya chama dola kwa UKAWA ya leo c rahisi kama unavyo fikiri ndugu yangu sasa lazima chama kikuu cha upinzani mwakan kiwe CCM

kiongozi kambi ya upinzani bungeni atakuwa magufuli
 
juzi nilimsikia makonda akijisifu kuwa tumemkata, na kusema tayari amejiandikisha iliaendeleze kukata watu kwenye box la kupigia kula. aliongea haya kwenye redio moja wakati wakimuhoji kuhusu maji taka kinondoni.

my take;
je sasa hivi ccm itakuja na sera gani, sera ya atakatwa, kakatwa na tumemkata imeisha x-pair, maana jina lake el limezidi kushamiri na kuchukua kurasa za mbele kwenye vyombo vya habari toka mumkate, na jana chati yake ime sky rocket gafla na hii mpaka october
 
Nape ajiande kwenda kulima viazi vitamu na alivyotepetea kaa toto lilivyolelewa na bibi,basi,akishindwa kulima atakuwa mpuliza moto jikoni.
 
CCM itabaki imara daima. Kete ya ufisadi ndio ilikuwa inaipaisha ukawa aka cdm na upinzani kwa ujumla. Kwasasa Kete yao itakuwa ipi? Hawana.
 
Mimi nahurumia gas yetu iliyokuwa inaviziwa na akina mengi na rostam
 
CCM itabaki imara daima. Kete ya ufisadi ndio ilikuwa inaipaisha ukawa aka cdm na upinzani kwa ujumla. Kwasasa Kete yao itakuwa ipi? Hawana.
escrow mikayaba mibovu kutokilopwa kwa mirabaha na ukwepaji wa kodi JK analo mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…