falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
- Thread starter
- #141
CCM itabaki imara daima. Kete ya ufisadi ndio ilikuwa inaipaisha ukawa aka cdm na upinzani kwa ujumla. Kwasasa Kete yao itakuwa ipi? Hawana.
ulitaka kusema nini?
CCM itabaki imara daima. Kete ya ufisadi ndio ilikuwa inaipaisha ukawa aka cdm na upinzani kwa ujumla. Kwasasa Kete yao itakuwa ipi? Hawana.
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa chama hicho ni makini kinaangalia maslah ya wengi kuliko mtu. Kwa upande wa chadema hakuna hiki kitu ndio maana mbowe anafanya mambo anavyotaka. Uamuzi wa Mbowe kumruhusu EL kujiunga Chadema ni uamuzi wa Mbowe na sio Wanachadema.
Ila kwa kuwa Chadema inaendeshwa kisultani, Wanachadema wameaminishwa uongo kuwa ukweli. Na hapa ndipo tunakosa kuleta mabadiliko kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa upinzani.
ni wakati wa ccm kugeuka chama cha upinzani
Kitakua cha upinzan katika kampeni tu...ujajua siasa ww
zama zenu za kubaki na mawazo mgando zimeisha
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa chama hicho ni makini kinaangalia maslah ya wengi kuliko mtu. Kwa upande wa chadema hakuna hiki kitu ndio maana mbowe anafanya mambo anavyotaka. Uamuzi wa Mbowe kumruhusu EL kujiunga Chadema ni uamuzi wa Mbowe na sio Wanachadema.
Ila kwa kuwa Chadema inaendeshwa kisultani, Wanachadema wameaminishwa uongo kuwa ukweli. Na hapa ndipo tunakosa kuleta mabadiliko kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa upinzani.
Mkuu ni swala la muda tu. Just wait and see, chadema walikuwa namba moja kusema mamvi ni fisadi leo wanamkaribisha kwenye chama Chao, wanataka kutuambia nini? Leo kawa msafi wamemuosha kwa sabuni gani? Au alikuwa fisadi alipokuwa ndani ya ccm ila chadema kawa malaika? Kweli siasa mchezo mchafu walikuwa mstari wa mbele kumpaka matope leo wanampaka wanja. Chadema wanamaswali ya kujibu kuhusu usafi wa lowasa.
Nimecheka sana
Wakuu,
Ni dhahiri kabisa future ya CCM ndio imefika ukingoni baada ya Lowassa kung'oka CCM, pia kama tunavyojua kundi la wafuasi wake kumfuata.
Hapa tujikumbushe nyuma kidogo, baada ya Lowassa kukatwa jina ndio makundi makubwa ya wanachama wa CCM walipopinga kukatwa kwake huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kumnadi Lowassa.
Sasa Lowassa amehama CCM na washirika wake ambao ndio wengi zaidi kuliko mwanaCCM yeyote kuamua kumfuata UKAWA.
Je, CCM itaweza kuendelea bila kundi hili kubwa kabisa kuwepo? Je, watakaobaki CCM watakuwa na mvuto katika jamii?
My take:
UKAWA isije kugeuka up coming CCM baada ya wanaCCM wengi kuomba kujiunga UKAWA.
CCM itabaki imara daima. Kete ya ufisadi ndio ilikuwa inaipaisha ukawa aka cdm na upinzani kwa ujumla. Kwasasa Kete yao itakuwa ipi? Hawana.
Wakuu,
Ni dhahiri kabisa future ya CCM ndio imefika ukingoni baada ya Lowassa kung'oka CCM, pia kama tunavyojua kundi la wafuasi wake kumfuata.
Hapa tujikumbushe nyuma kidogo, baada ya Lowassa kukatwa jina ndio makundi makubwa ya wanachama wa CCM walipopinga kukatwa kwake huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kumnadi Lowassa.
Sasa Lowassa amehama CCM na washirika wake ambao ndio wengi zaidi kuliko mwanaCCM yeyote kuamua kumfuata UKAWA.
Je, CCM itaweza kuendelea bila kundi hili kubwa kabisa kuwepo? Je, watakaobaki CCM watakuwa na mvuto katika jamii?
My take:
UKAWA isije kugeuka up coming CCM baada ya wanaCCM wengi kuomba kujiunga UKAWA.
Kuna jibu wamelimeza wanasema ''MFUMO''
Mkuu hicho wanachokiita mfumo kitawatokea puani. Ni swala la muda tu nasubiri kampeni zao nione no vipi watamnadi huyo mamvi wao.
unaweweseka sana
Tulia usipaniki lazima ukubali ukweli.
Ukweli wa chadema kupotea kwenye ramani ya siasa za Tanzania baada ya kugeuka chama cha kusafisha mafisadi kwa tamaa ya hela.ukweli wa kuanguka kwa CCM
Hakuna mwana ccm alie furahi kwa maamuzi ya lowassa kuwatosa na tulitarajia hilo.
bakini na mchama wenu mfu huo,tukutane oktoba 25.