Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

CCM kama KANU vile ndiyo bye bye forever! na kipenga cha migogoro ndani ya chama kimeshapulizwa hahaaaaaaaaaa!!!:wave:
 
Kwa sasa kikubwa ni kuiondoa thithiemu, mengine tutajadili baadae, kama akitoka huyu, hata ajaye atatoka tu
 
Weka akiba kidogo ya Maneno. Siasa ni kama Mpira. Usije ukakanusha maneno yako!



Kama wanavyo kanusha sasa kwamba Lowassa sio Fisadi???

Lakini sio ajabu kwa Mbwa kula matapishi yake!!!!!!!
 
kinana mwenyewe yuko team lowasa...sema lini ulishawahi kumsikia kinana akimkoromea au hata kumkosoa rais lowasa wakati akiwa ccm?....

Pia jk mwenyewe alitambulishwa kama kampen manager wa el huko pwani na hajawahi kukanusha...

Hongera jk kwa mpango mkakati wa kuing'oa ccm madarakani na kuwarudishia wananchi tanganyika yetu.

Ilianzia hapa
View attachment 271671 ikaja hapa 1438069227244.jpg ilifikia had I hatua hii 1438069337556.jpg . 1438069337556.jpg
 
mtoa mada ameuliza UKAWA haitageuka kuwa CCM kwa vile kundi lenye sura mbaya ndo linahamia huko?
 
Mungu mwema anajua mengi yajayo kuliko mapana ya fahamu za sisi wanadamu..Nyakati tulizonazo yatupasa kuishi maisha ya kumtumaini Mungu Mwenyezi kuliko Chama,watu,Mtu,Vitu,Pesa,Elimu..hakika laana nyingi juu yetu zitakwisha zikiwemo za umaskini,Ufukara,ujinga,maradhi,mahangaiko,ukosefu wa amani,rushwa,ukosefu wa haki...
 
Back
Top Bottom