Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Mmasai hana unafiki akiwa rafiki yako ni rafiki wa kweli ukigeuza akawa adui umrudishi tena mngelijua hilo ccm lingeawasidia
 
Hilo lipo wazi. Na uamuz wa Lowasa kuruhusiwa chadema haujapangwa na wanachadema wengi ila ni maamuz ya Mbowe. Mimj kama mwanachadema nakubaliana nasera ya kulichukua dola ila sio kwa candidate kama Lowasa. Mbowe ametuuza

Poleni sana ila nimejifunza kitu, uongozi chadema upo kimaslahi zaidi ya unavyo dhani na wapo tayari hata kuuza nchi na mpaka sasa wameshaiweka bondi nchi na wakikamata dola sizani kama watafikiria kuikomboa badala ya kuiuza kabisa na kusahau, Pale UKAWA napo panapelekwa tu na wanachama nao kanyaga twende kifupi wanachadema bado wapo ndani ya box na wanatumia kauli ya Zidumu fikra za Mwenyekiti, sitaki kuamini kama Upinzani ndio unaishia hapo lakini ndivyo ilivyo, CCM wametuhumiwa ufisadi lakini wanaheshimu chama chao na wananchi kwa ujumla Hawa CDM wamezidi na nimapema sana kuthamini pesa kuliko nguvu ya umma hata kama wamewaroga mmekua kama makuku ya kizungu
 
Hata wakati lowasa yuko CCM haikuwai kushinda kihalali wenyewe wanajua

Mwulize Lissu, aliwambia nn wanna Geita
 
Mnavyohangaika!
Tatizo nn,sasa si mfutari cdm inakufa mbona hamchoki?

Eti Leo hii ccm inawaonea huruma cdm!!.
Ahaahaaa
 
Tactically, Lowassa should have defected a week before the elections and the UKAWA candidate should have been made to step down voluntarily for him. That would have been a real coup!
 
Hizi ni siasa, na priority iliyopo ni ccm waondoke madarakani kwa gharama yoyote! Mi ningewashangaa ukawa wangeacha hii nafasi ipite. After all chadema sio sawa na ccm kofia zote za Mwenyekiti na uraisi apewe mtu mmoja. Hapa kuna kidhibiti mwendo, mtu anaenda sambamba na ilani ya chama. Na katiba ikibadilishwa baasi!!
 
Tactically, Lowassa should have defected a week before the elections and the UKAWA candidate should have been made to step down voluntarily for him. That would have been a real coup!

we hujali hata kama watu wasipokuelewa
 
Hizi ni siasa, na priority iliyopo ni ccm waondoke madarakani kwa gharama yoyote! Mi ningewashangaa ukawa wangeacha hii nafasi ipite. After all chadema sio sawa na ccm kofia zote za Mwenyekiti na uraisi apewe mtu mmoja. Hapa kuna kidhibiti mwendo, mtu anaenda sambamba na ilani ya chama. Na katiba ikibadilishwa baasi!!

Ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom