future scientists wa tz-products za ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

future scientists wa tz-products za ccm

Discussion in 'Jamii Photos' started by Utingo, Oct 20, 2010.

 1. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  paper.jpg
   
 2. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Hawa ni kidato cha nne wanafanya mitihani, huo mwanga wa jua unawaharibu macho. :mmph:
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Duh, wapi huku tena jamani!
   
 4. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo shule ilifungwa ili madawati yatoshe
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Na mvua ingetoke sijui ingekuwa vipi!
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maisha bora kwa kila mwanafunzi na walimu
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Dah! Ingekuwa mimi ningekataa kufanya mtihani katika mazingira hayo, tena kwa sababu za msingi kabisaa:

  1. jua,
  2. vumbi,
  3. upepo,
  4. wakinamama wanapita barabarani,
  5. watoto wanachunga mbuzi jirani,
  6. ndege juu ya mti wanakunya!
  7. :mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph:
   
 8. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yeah really this is insane!!!!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  inasikitisha sana ..
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Duuh hilo gap kati yao lilivyo kubwa si mchezo. hapo hamna Chaboo
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hii ndio faida ya shle za sekondari za kata na ambazo zimekuwa zikipigiwa debe na kuonekana za manufaa mbele ya wapiga kura wa nchi hii.
  Unadhani katika mazingira haya kuna ambaye atafaulu hapo?Ni ziro kwa kwenda mbele.
   
 12. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Matunda ya CCM, na hapo ndio elimu ya kulipia!
   
 13. M

  MAFRA Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi kweli kwa mtindo huu tutafika?Tanzania tuko dunia ya ngapi jamani na tunaelekea wapi. nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali ambazo zinaliwa na wanaojiita wajanja wa nchi hii kwa kufanya mikataba mibovu na wageni.kwa jina lingine tuwaite mafisadi papa mungu tusaidie ndo maana wanafunzi wanafanya mitihani yao katika mazingira magumu kiasi hiki. Tanzania bila CCM inawezekana jamani, tuungane pamoja na kumpa Dr. Slaa kura zetu tuone kama hatutabadilika. :mmph:
   
 14. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Imenibidi nivute pumzi kwanza !!!! Hali ya kielimu inasikitisha sana.... na haya ni mafanikio ya JK and Co, eti
  wamejenga shule za kata !!!
  " Value your Vote, Vote for Change"
   
 15. L

  Linababy Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahisi kujiniga kwa hasira jaman. Halafu wanajisifia eti shule za kata jamani tumuogope Mungu na kumpenda. Nonsense.
   
Loading...