Future of Tz is in CHADEMA's hands

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
MNYIKA+WA+BAADAYE+AKITEMBEA.JPG
 
Labda siku Mwenyekiti na mgombea urais awe Zitto. Slaa daktari wa kanoni bila ya digrii hata moja ameshindwa uchaguzi. Mbowe wa bilicanas night club alishindwa kwa kishindo.
 
Mkuu kwa mtizamo wangu naona ingesomeka "Future of TZ is in OUR hands" (The people). Lakini inawezekana pia kuna ujumbe maalumu kwenye hiyo picha ambao sijaupata vizuri. Mi nafikiri kuna viongozi wengi wa CCM waliingia CDM kwasababu ya upepo wa CDM lakini sio kwamba wanauchungu na nchi hii e.g. Shibuda etc. Sasa kwenye future watanzania lazima tuliangalie hili, mtu asichaguliwe kwaajili ya Chama bali historia/reputation. Je commitment zake ni kwa nchi au yeye binafsi. Wewe fikiria Nape angeingia CDM akapata ubunge kwa jina la CDM si ingekua hatari hii (Just my opinion). Hii culture yakwenda kituoni mtu anatafuta chama fulani ndio aweke alama ya tiki ndio imefanya tumekua na watu kama Rostam, John Komba, Prof Maji Marefu etc. toka season moja hadi nyingine hawaongei chochote zaidi ya kulala tu.
 
Yaani dogo anafeel strong kweli hapo

Future RIZ1? He looks like he is from privileged family, same theme of CCM ideology recruit them (leaders kids) while young when they grow up Tanzanians will never see the difference! FISADI HUZAA FISADI

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mkuu kwa mtizamo wangu naona ingesomeka "Future of TZ is in OUR hands" (The people). Lakini inawezekana pia kuna ujumbe maalumu kwenye hiyo picha ambao sijaupata vizuri. Mi nafikiri kuna viongozi wengi wa CCM waliingia CDM kwasababu ya upepo wa CDM lakini sio kwamba wanauchungu na nchi hii e.g. Shibuda etc. Sasa kwenye future watanzania lazima tuliangalie hili, mtu asichaguliwe kwaajili ya Chama bali historia/reputation. Je commitment zake ni kwa nchi au yeye binafsi. Wewe fikiria Nape angeingia CDM akapata ubunge kwa jina la CDM si ingekua hatari hii (Just my opinion). Hii culture yakwenda kituoni mtu anatafuta chama fulani ndio aweke alama ya tiki ndio imefanya tumekua na watu kama Rostam, John Komba, Prof Maji Marefu etc. toka season moja hadi nyingine hawaongei chochote zaidi ya kulala tu.

Hii culture ya cross carpeting ni ya kishamba na ubinafsi.Hakuna cha Ideology.Ni kama walevi kuhama baa tu!
 
Back
Top Bottom