Futuhi ya vyakula China! Wanapika mpaka mawe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,609
Reaction score
860,789
Chakula cha mawe" nchini China ni chakula cha kitamaduni kinachoitwa Suodiu (嗦丢), ambapo mawe madogo ya mtoni yanakaangwa na viungo kisha unanyonya ladha yake na kuyatema bila kuyameza. Chakula hiki kimepewa jina la utani kama "chakula kigumu zaidi duniani" kwa maana halisi ya neno kuliko vyakula vyote.
Sasa hawapiki mawe tu bali vingine vingi tuu visivyo na uhai
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe ndio maana wachina wanajenga magorofa kwa haraka sana, kumbe siri ni kwamba miili yao ina asilimia kubwa ya concrete kuliko damu.
 
Mlitusema sana wapare kwa ubahili kumbe hamkuwaona wabimba macho
 
Eeh hapo umenena sana bana, kumbe ndio maana wakichina wanajenga haraka, miili yao imejaa saruji. Najaribu kufikiria ladha ya mawe yale, labda inakaa kama kuku wa kukaanga na mchanga? 😂
 
Kwa mantiki hiyo, haiwezekani kutokea njaa huko kwani mawe hayo si unaweza kuyarudishia tena na tena jikoni bila ukomo au ndiko ulikoanzia msemo ule wa supu ya mawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…