Fuso Latimkia Nepal

Fuso Latimkia Nepal

Beki kisiki na nahodha wa zamani wa Taifa Starz, Shdrack Nsajigwa ametimkia nchini Nepal kwenda kucheza soka la kulipwa, mimi niliye karibu na mchezji huyo aliniaga mwishoni mwa wiki iliyopita kwamba anakwenda kujaribu bahati yake

Huko ataungana na baadhi ya wachezaji wa Tanzania wanaokipiga nchini Nepal

my take: Ganda la mua la jana, chungu kaona kivuno;
Huko ni kwenda kuua kipaji chake tu. Labda kama ameenda huko kimaslahi lakini sio kukuza kipaji. Soka na Nepal wapi na wapi? Ni bora hata ngesema anaenda kucheza soka India
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom