Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

Kiuhalisia maisha kwa mji wa tunduma ni nafuu yani vitu ni bei ndogo,hasa nyumba na vyakula,kwa biashara ya kilimo na mazao ni sahihi,ila mzunguko sio mkubwa sana kama miaka hiyo ambapo Kwacha ilikuwa na thaman sana na wazambia walkuwa hawafwati mizigo dar,japo Bado Pana unafuu ukilinganisha na mikoa kama Iringa,njombe,mbeya,rukwa katav
 
Hi zipi hizo fursa wasizo ziona funguka? Ndio lengo la mleta uzi anataka kujua sio kuficha ficha.
Chief fursa ziko nyingi mno maana kuna Magar makubwa yaeendayo nchi jilan kama Zambia,Malawi,Zimbabwe,Burund na Kongo uk yapo ya kutosha mpk kuna mda barabara inakuwa Jamu.,kwa iyo wagen ni wengi wa kuingia na kutka kwanza ujue uk ni border ivyoo mwingiliano wa watu ni mwingi mno ivyoo ni ww tu kuona kipi kinafaa kukifnya katk hii sehem.
 
Mim ni mzaliwa wa hapa Tunduma ila kiukwel mim Pamenishinda Tunduma🙌🙌🙌🙌,,,, lkn nikiendag mikoa mingne Nakiamsha hatar.
 
Back
Top Bottom