Na ukiwa mjanja unaweza kupata hela nyingi sanaFursa kuuubwa ni per diem anakula saana kama bosi ni mtu wa safari. Hakosi kupiga ela ya mafuta na services za gari.
Akiwa mjanja anaweza kuwa na mafanikio kuliko senior desk officers
Sent using Jamii Forums mobile app
Una anzaje anzaje na wewe upo kwenye gari muda woteKwa hili ujaongea uongo...!
Tunawakula sana kama sio wake zao basi walau watoto zao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishakula sana masister,niliajiriwa ofisi yaoUna anzaje anzaje na wewe upo kwenye gari muda wote