Fursa za Mji wa Kigoma

Fursa za Mji wa Kigoma

Kwa kuoa simshauri wanawake wa kiha hawana upendo
Labda muha wako ndio hana upendo.

Katika sehemu sahihi ya kuoa ni kigoma, mabint wa kigoma
wanaupendo,
wavumilivu (shida na raha, maradhi na uzima, tabu na mateso),
wachapa kazi ( Anaweza kuendesha familia kwa kutimiza basic needs na bado anamuheshimu mume wake)
 
Mkuu acha kabisa, ukifika hapo kibirizi ukawa unawauliza michongo ya biashara, hawataki kabisa kukwambia sana sana ni kukukatisha tamaa, ila wao kila mala unaona wanapakiza bidhaa wanaondoka, na vitisho juu, kuwa bila kutumia uchawi huwezi!!nikaamua kujitoa muhanga mwenyewe wakaja kunikuta DRC, daaa bifu likahamia huko tena kuwa kwanini nimewaingilia bila ruhusa yao, hadi wakongo man wakawa wanashangaa, nyie watanzia vipi mbona hampendani, nikafanya yangu yaliyonipeleka, kurudi sasa wakasema nitajua sitapanda boti lolote lao kwani mengi ni ya waha, wenzao!!yaani majamaa hata kule congo yana jeuri kama kwao!!nilipoona mikwala imezidi nikaona kama mbwai iwe mbwai, tu nikatafuta wanajeshi watatu nikawapa franca 20000, kwa kutumia mwenyeji wangu, walipelekwa kambi ya jeshi, kutoka huko tuliheshimiana hadi natoka huko.kisa nilipeleka mzigo mzuri sana, nikauuza mala moja tu, ukaisha huku wao wakiwa hawauzi hadi wangu ulipoisha!!!

Pale kuna kabila ya wamanyema, wabwali, wagoma hao sio waha ni wasumbufu sana hawana ushirikiano na wenzao
 
Labda muha wako ndio hana upendo.

Katika sehemu sahihi ya kuoa ni kigoma, mabint wa kigoma
wanaupendo,
wavumilivu (shida na raha, maradhi na uzima, tabu na mateso),
wachapa kazi ( Anaweza kuendesha familia kwa kutimiza basic needs na bado anamuheshimu mume wake)

Muha pekee anayejielewa na anaweza kuishi na popote, mchapa kazi, na mwenye upendo japo kiasi na hana majivuno ni MUHA wa eneo linaitwa kasulu
 
Pole Sana Mkuu
Ulikutana Na Fitna Za Hatari Sana, Soko Huria Wao Wanaona Kama Lao!! Wakijaa Kariakoo Itakuwaje
Elimu Siyo Darasani Hata Kutembea Umejionea Mengi Sana

Kuna Member Katoa Angalizo Kuwa Hawana Upendo

Huo ndio ukweli hata wao kwa wao hawapendani kabisa na kwa wanavofanya kazi wangekua wanapendana na kupeana michongo wangetisha sana.
 
Muha pekee anayejielewa na anaweza kuishi na popote, mchapa kazi, na mwenye upendo japo kiasi na hana majivuno ni MUHA wa eneo linaitwa kasulu
Sio kweli mkuu, anza tafiti zako upyaa,
 
Huo ndio ukweli hata wao kwa wao hawapendani kabisa na kwa wanavofanya kazi wangekua wanapendana na kupeana michongo wangetisha sana.
Wewe ni mtu wa ajabu mkuu!
Eti hawapendani hata wao kwa wao.

Ni kabila gani ambalo wanapendana wao kwa wao?
Hata hilo kabila utakalosema wanapendana sana, atakuja mwingine atasema hawapendani.
Kwahiyo haya mambo hayana formula maalumu.
Kinacho kutokea wewe, siyo lazima kimtokee na mwingine.
 
Labda muha wako ndio hana upendo.

Katika sehemu sahihi ya kuoa ni kigoma, mabint wa kigoma
wanaupendo,
wavumilivu (shida na raha, maradhi na uzima, tabu na mateso),
wachapa kazi ( Anaweza kuendesha familia kwa kutimiza basic needs na bado anamuheshimu mume wake)
Huyo jamaa ni mtu wa ajabu
 
Wewe ni mtu wa ajabu mkuu!
Eti hawapendani hata wao kwa wao.

Ni kabila gani ambalo wanapendana wao kwa wao?
Hata hilo kabila utakalosema wanapendana sana, atakuja mwingine atasema hawapendani.
Kwahiyo haya mambo hayana formula maalumu.
Kinacho kutokea wewe, siyo lazima kimtokee na mwingine.
Swadakta mkuu
 
Mkuu acha kabisa, ukifika hapo kibirizi ukawa unawauliza michongo ya biashara, hawataki kabisa kukwambia sana sana ni kukukatisha tamaa, ila wao kila mala unaona wanapakiza bidhaa wanaondoka, na vitisho juu, kuwa bila kutumia uchawi huwezi!!nikaamua kujitoa muhanga mwenyewe wakaja kunikuta DRC, daaa bifu likahamia huko tena kuwa kwanini nimewaingilia bila ruhusa yao, hadi wakongo man wakawa wanonipeleka, kurudi sasa wakasema nitajua sitapanda boti loni ya waha, wenzao!!yaani majamaa hata kule congo yana jeuri kama kwao!!nilipo kama mbwai iwe mbwai, tu oka huko tuliheshimiana hadi natoka huko.kisa nilipeleka mzigo mzuri sana, nikauuza mala moja tu, ukaisha huku wao wakiwa hawauzi hadi wangu ulipoisha!!!

Jamaa acha swaga, wewe kama yalikutokea hayo, ni wewe mwenyewe.
Huenda wewe mwenyewe ulikuwa na matatizo yako.

Halafu unasema eti "ukifika kibirizi kuulizia michongo hawatakuambia"
Kana kwamba uliwaulizia watu wote wa kibirizi.
 
Mtama Ulaheze?

Migebuka inapatikana sana mitaa ipi ninahitaji connection ya dagaa na Migebuka ntafurahi nikipata muongozo
 
Back
Top Bottom