Fursa za Mji wa Kigoma

Fursa za Mji wa Kigoma

Kama ulivoshauriwa unaweza kulima zao la mchinichi maeneo ya ukanda wa Burombora, kaseke, ilagara, kamara, simbo na kadhalika hilo ni zao la kudumu na litakupa pesa ya uhakika kama ilivo korosho lindi, mtwara au parachichi njombe na mbeya
Aoe Muha Wa Kasulu Anapikiwa Ugali Na Ngege Anasahau Alikotoka Kabisa
 
Changamoto ya mkoa ule ni vumbi la kutisha na tope la maajabu duniani, ukifika kule kiangazi kila binadamu utamuona mchafu au hawaogi, hivo ukapambane na mazingira yote hivo hivo
 
Mkoa wa kigoma kuna fursa nyingi kama ilivo mikoa mingine kwa haraka haraka kutoka kigoma mjini pale utakuta bandari ukiweza tafuta connection ya kupeleka vitu kama mchele, mbuzi, nchini DRC
Hakuna watu wenye roho mbaya kama waha, hasa walioko hapo kibirizi!!!
 
Mkuu
Kulitokea Nini, Dondosha File Japo Kidogo
Yaliyomo Yamo
Mkuu acha kabisa, ukifika hapo kibirizi ukawa unawauliza michongo ya biashara, hawataki kabisa kukwambia sana sana ni kukukatisha tamaa, ila wao kila mala unaona wanapakiza bidhaa wanaondoka, na vitisho juu, kuwa bila kutumia uchawi huwezi!!nikaamua kujitoa muhanga mwenyewe wakaja kunikuta DRC, daaa bifu likahamia huko tena kuwa kwanini nimewaingilia bila ruhusa yao, hadi wakongo man wakawa wanashangaa, nyie watanzia vipi mbona hampendani,

Nikafanya yangu yaliyonipeleka, kurudi sasa wakasema nitajua sitapanda boti lolote lao kwani mengi ni ya waha, wenzao!!yaani majamaa hata kule congo yana jeuri kama kwao!!nilipoona mikwala imezidi nikaona kama mbwai iwe mbwai, tu nikatafuta wanajeshi watatu nikawapa franca 20000, kwa kutumia mwenyeji wangu, walipelekwa kambi ya jeshi, kutoka huko tuliheshimiana hadi natoka huko.kisa nilipeleka mzigo mzuri sana, nikauuza mala moja tu, ukaisha huku wao wakiwa hawauzi hadi wangu ulipoisha!!!
 
Mkuu acha kabisa, ukifika hapo kibirizi ukawa unawauliza michongo ya biashara, hawataki kabisa kukwambia sana sana ni kukukatisha tamaa, ila wao kila mala unaona wanapakiza bidhaa wanaondoka, na vitisho juu, kuwa bila kutumia uchawi huwezi!!nikaamua kujitoa muhanga mwenyewe wakaja kunikuta DRC, daaa bifu likahamia huko tena kuwa kwanini nimewaingilia bila ruhusa yao, hadi wakongo man wakawa wanashangaa, nyie watanzia vipi mbona hampendani, nikafanya yangu yaliyonipeleka, kurudi sasa wakasema nitajua sitapanda boti lolote lao kwani mengi ni ya waha, wenzao!!yaani majamaa hata kule congo yana jeuri kama kwao!!nilipoona mikwala imezidi nikaona kama mbwai iwe mbwai, tu nikatafuta wanajeshi watatu nikawapa franca 20000, kwa kutumia mwenyeji wangu, walipelekwa kambi ya jeshi, kutoka huko tuliheshimiana hadi natoka huko.kisa nilipeleka mzigo mzuri sana, nikauuza mala moja tu, ukaisha huku wao wakiwa hawauzi hadi wangu ulipoisha!!!
Pole Sana Mkuu
Ulikutana Na Fitna Za Hatari Sana, Soko Huria Wao Wanaona Kama Lao!! Wakijaa Kariakoo Itakuwaje
Elimu Siyo Darasani Hata Kutembea Umejionea Mengi Sana

Kuna Member Katoa Angalizo Kuwa Hawana Upendo
 
Pole Sana Mkuu
Ulikutana Na Fitna Za Hatari Sana, Soko Huria Wao Wanaona Kama Lao!! Wakijaa Kariakoo Itakuwaje
Elimu Siyo Darasani Hata Kutembea Umejionea Mengi Sana

Kuna Member Katoa Angalizo Kuwa Hawana Upendo
Wao wanataka kabila lao tu!!ki ukweli nilikuwa nawasikia tu, ila niliyojionea juu yao, ni watu wabaya mno!!!
 
Back
Top Bottom