white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,880
Vyoyote utakavyosema lakini ukweli upo wazi waha wanaubinafsi sana!!nawasiwasi hata na ufahamu wako, mtu unapofikia hitimisho la kitu sio kama kila mtu umemuuliza, ingekuwa hivyo watafiti wasingeweza kufanya kazi zao!!nimeishi nao mikoa tofauti tofauti lakini nilipokuwa kigoma/Drc ndio nilifikia hitimisho langu kuwa ni watu wabaya sana!!Jamaa acha swaga, wewe kama yalikutokea hayo, ni wewe mwenyewe.
Huenda wewe mwenyewe ulikuwa na matatizo yako.
Halafu unasema eti "ukifika kibirizi kuulizia michongo hawatakuambia"
Kana kwamba uliwaulizia watu wote wa kibirizi.