Fursa za JF...

Fursa za JF...

binafsi nimeziona na kuzitumia baadhi..na zingine nitazitumia
najua hata wewe pia umeziona na umezitumia
hebu niwekee chache....TWENZETUuu

ni kuambulia kibuti kwa kile binti anayekonga nafsi yangu na kujaribu kumvuta/kunung`unika
 
aiseee hizi fursa hiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom