Kwetu kibahigwa ntajulia wapi kiswahili??ha ha ha ha ha ha ha ha ha pole sana unaweza ukajiona hotcake kumbe utumbo wa mbuzi.
halafu kwa kukumbushia hujajibu swali bado manoah namba mbili ni huyu hapa hajui matumizi ya l na r maandishi mabaya kama nini
na usijitete ni typing error huo ni uandishi mbovu
ha ha ha ha ha ha ha ha ha pole sana unaweza ukajiona hotcake kumbe utumbo wa mbuzi.
halafu kwa kukumbushia hujajibu swali bado manoah namba mbili ni huyu hapa hajui matumizi ya l na r maandishi mabaya kama nini
na usijitete ni typing error huo ni uandishi mbovu
Kwetu kibahigwa ntajulia wapi kiswahili??
Na wewe ulimi unapinda au viroba vipomahali kwake??teh teh teh nazidi kupata picha tu kibaigwa karibu sana nauli hapa na kule ni buku ten tu
kungesema Muleba ningekuelewa
Na wewe ulimi unapinda au viroba vipomahali kwake??
Uko kipande ipi??pm au nicheki through kilingalonga!typing error my dear k na u zimefatana siyo kama wewe l na r huzijui i na h ndo kabisaa.
Btn njoo tupige viroba basi
Swadaktaa.I love u.Nmwaa!!Kukumbwa na kunukishiwa kashfa ya aliekua mke mtarajiwa Marry Hunbig....
Kumpata tulizo la moyo wangu Zion Daughter
Uko kipande ipi??pm au nicheki through kilingalonga!
Hahah...naomba kuja kupiga chabo!!!!:tongue:
hahahahahahahahaa...hii ni bonge la fursa...umeitumia vizuri